Hizi gari hapana, nitabadilishana na Bodaboda

Haahaahaaahaa[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]

Jamani nimecheka asubuhi hii mie[emoji28][emoji28]

Mkuu usichukulie kila kitu humu serious utapagawa buuree, watu wanaondoa stress zao humu!
Kazi kweli kweli,yaani unakuta dume kubwa kama Pepekalee uzito zaidi ya kilo 200 amejikunja ndani ya porte,passo au ist kumbe hizi ndio dharau zenyewe??

Lakini hao jamaa wenye vi-beby walker huwa wana fujo na mbwembwe barabarani utadhani wapo juu ya fuso.

Hahahahaaa,take easy@dianaSpencer.
 
Hahahahaaaaaaa,nimejitahidi kuwatetea wenye vi-baby walker lakini bado ngumi za uso zinarushwa tu!!

Wenye vi-baby walker njooni huku mnadadavuliwa huku uwanjani kwenu.Msijifanye hamuuoni uzi.

Tusipotoshane!!!Hahahahaaaaaaa!!!!
 
Tunakomenti wapi sisi watembea kwa miguu..[emoji849][emoji849]
Tukomae tu humu humu,hatubanduki ng'ooo!!!Ni ligi kati ya wenye vi-baby walker,watembea kwa ngondi na wenye vyombo vinavyoitwa magari.

KIDUKULILO YUPO NJIANI ANATOKA MANZESE KUTOA UZOEFU!!!
 
Ukifumania halafu upate hasira ukatupa ngumi,mfumaniwa akaikwepa ngumi, gari aina hizo ikiwa na dereva karibu yako ngumi inaweza penya na kumjeruhi dereva wa hicho ki-baby walker(very soft cars kwa kweli!!!).

Hahahahaaaaa
 
Mtu mwenyewe kama lemutuz. Yaani alikuwa kama anakabaka.😀

Sina gari lakini hivyo vidude hapana😀😀 wanawake ndio vinawapendeza.
Sio kama wanavipenda ni Rahisi kwa mwanamme kuhonga hivyo "VITOYO"!! Samahani Lakini.
 
Wachangiaji wa huu Uzi hawana magari kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
HUna akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…