Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kazi kweli kweli,yaani unakuta dume kubwa kama Pepekalee uzito zaidi ya kilo 200 amejikunja ndani ya porte,passo au ist kumbe hizi ndio dharau zenyewe??Haahaahaaahaa[emoji16][emoji16][emoji28][emoji28]
Jamani nimecheka asubuhi hii mie[emoji28][emoji28]
Mkuu usichukulie kila kitu humu serious utapagawa buuree, watu wanaondoa stress zao humu!
Golf habari nyingine chiefView attachment 1504409
Mnyama kama huyu kuita Toy ni aibu. VW GOLF-GTI
Hahahahaaaaaaa,nimejitahidi kuwatetea wenye vi-baby walker lakini bado ngumi za uso zinarushwa tu!!Mkuu pole sana ila ndo ukweli. Haka ka gari ukiacha maelekezo home wakaoshe utakuta beki 3 kakatenga kwenye beseni anakasugua na dodoki. By the way hivi haka ukipiga honi kuingia home wanalazimika kufungua geti lote kaingie au inatosha kufungua kile ki mlango cha geti kidogo kwa ajili ya matumizi ya watu?
Tukomae tu humu humu,hatubanduki ng'ooo!!!Ni ligi kati ya wenye vi-baby walker,watembea kwa ngondi na wenye vyombo vinavyoitwa magari.Tunakomenti wapi sisi watembea kwa miguu..[emoji849][emoji849]
Ukifumania halafu upate hasira ukatupa ngumi,mfumaniwa akaikwepa ngumi, gari aina hizo ikiwa na dereva karibu yako ngumi inaweza penya na kumjeruhi dereva wa hicho ki-baby walker(very soft cars kwa kweli!!!).Habarini Wakuu,
Tangu mwaka wa 2018 June nilikuwa nikihitaji at least kupata usafiri binafsi. Katika mchakato wa kuwashirikisha wajuzi zaidi wa magari na madalali baadhi wamekuwa wakisuggest aina za magari ambayo zilikuwa zinanichekesha sana Wallah
Kuna aina za magari binafsi naona zina muundo mbaya (body structure) hasa kwa Wanaume.
Ikitokea nikapewa zawadi ya magari hayo nitabadilishana na mtu mwenye pikipiki BOXER muda huohuo kabla ya Masaa 6.
Gari hizo ni Porte, Nadia na aina flan ya Suzuki:
KabisaUkweli unauma
Sio kama wanavipenda ni Rahisi kwa mwanamme kuhonga hivyo "VITOYO"!! Samahani Lakini.Mtu mwenyewe kama lemutuz. Yaani alikuwa kama anakabaka.😀
Sina gari lakini hivyo vidude hapana😀😀 wanawake ndio vinawapendeza.
Wenye hivi vidubwasha Wana vurugu sana barabaraniView attachment 1504409
Mnyama kama huyu kuita Toy ni aibu. VW GOLF-GTI
Wachangiaji wa huu Uzi hawana magari kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123]Huu uzi ukiuchunguza kwa kina utagundua wachangiaji wengi ni wapanda daladala, bodaboda na wale wachache wanaomiliki magari ya urithi.
Wale wenzangu na mimi waliojipinda na kununua hizo passo, suzuki, funcargo, nk. wametulia kimya huku wakishangaa nini hasa lengo la huu uzi! ni kejeli tu, kujimwambafai, sizitaki mbichi hizi, au!!!
Nadhani uliona Toyota IQ! Ni kagari kazuri sana!Ukistaajabu ya Porte utakuwa hujakumbana na Passo short chasis. Juzi kati kamenipita ka passo milango miwili nilijikuta natema chini
HUna akiliHabarini Wakuu,