Hizi gharama za parking kwenye stations za SGR mbona kubwa sana?

Tuelewe kwamba kuna kodi tozo fulani huwa zinawekwa kubwa au ndogo ili kujenga tabia fulani kwenye jamii.
Tozo kubwa Parking za SGR ni kuzuia watu wengi kupark kwasababu eneo ni dogo.
Hali kadhalika viwanja vya ndege parking fee ni kubwa ili kuzuia watu wengi kupark.
kwa mfano .
Station ya posta parking fee ikiwa 5000 kwa siku si wafanyakazi woote wa ofisi zilizoko posta watahamia hapo
 
Watu wengi wao kulalamika ni hulka yao
 
Watahamia vipi kama utaratibu umewekwa kwa wale tu wenye tiketi ambao wanasafiri kwa SGR
 
Kubwa Sana, kila SAA 1,000/ mtu ukiondoka Kwa siku moja unalipia zaidi ya 20,000/
 
Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri.

Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
Bongo Nyoso! Bora nipaki sheli kwa siku hata nne unaporudi 20 hadi 15 kiroho Safi.
 
Back
Top Bottom