dyuteromaikota
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 5,929
- 8,327
Itakuwa bado hawajaanzaMbona station ya Kilosa nilipaki Bure siku 3
Watu wengi wao kulalamika ni hulka yaoTuelewe kwamba kuna kodi tozo fulani huwa zinawekwa kubwa au ndogo ili kujenga tabia fulani kwenye jamii.
Tozo kubwa Parking za SGR ni kuzuia watu wengi kupark kwasababu eneo ni dogo.
Hali kadhalika viwanja vya ndege parking fee ni kubwa ili kuzuia watu wengi kupark.
kwa mfano .
Station ya posta parking fee ikiwa 5000 kwa siku si wafanyakazi woote wa ofisi zilizoko posta watahamia hapo
Watahamia vipi kama utaratibu umewekwa kwa wale tu wenye tiketi ambao wanasafiri kwa SGRTuelewe kwamba kuna kodi tozo fulani huwa zinawekwa kubwa au ndogo ili kujenga tabia fulani kwenye jamii.
Tozo kubwa Parking za SGR ni kuzuia watu wengi kupark kwasababu eneo ni dogo.
Hali kadhalika viwanja vya ndege parking fee ni kubwa ili kuzuia watu wengi kupark.
kwa mfano .
Station ya posta parking fee ikiwa 5000 kwa siku si wafanyakazi woote wa ofisi zilizoko posta watahamia hapo
Bongo Nyoso! Bora nipaki sheli kwa siku hata nne unaporudi 20 hadi 15 kiroho Safi.Elfu 20 kwa siku tunamkomoa nani? Gari sio anasa tena ni chombo cha usafiri.
Kama SGR napanda kwa elf 13, iweje gari kuliacha hapo nilipe elf 20!?
Nenda hiyo ya hapo Dar! uone cha Moto! ukipaki hauambiwi siku ya kuja kuchukua ndio utakoma!Mbona station ya Kilosa nilipaki Bure siku 3