chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Kuna habari inavuma mitandaoni kwamba Lissu amepanga kufukuza viongozi wote wa kanda, mikoa, na wilaya, pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa sababu ni team Mbowe.
Hizi habari ni za kweli?
Je haogopi kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, na akafukuzwa Chadema, kama Augustine Mrema alivyofukuzwa NCCR?
Hizi habari ni za kweli?
Je haogopi kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, na akafukuzwa Chadema, kama Augustine Mrema alivyofukuzwa NCCR?