Chiembe nani kakupa usemaji wa hiki chama?Kuna habari inavuma mitandaoni kwamba Lissu amepanga kufukuza viongozi wote wa kanda, mikoa, na wilaya, pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa sababu ni team Mbowe.
Hizi habari ni za kweli?
Je haogopi kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, na akafukuzwa Chadema, kama Augustine Mrema alivyofukuzwa NCCR?
Kakiambia nani je mboga mboga ni yenu wote au ni ya genge lenye nacho?Anaingiaje kuongoza chama cha Familia?
Watapunguzwa tuKuna habari inavuma mitandaoni kwamba Lissu amepanga kufukuza viongozi wote wa kanda, mikoa, na wilaya, pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa sababu ni team Mbowe.
Hizi habari ni za kweli?
Je haogopi kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, na akafukuzwa Chadema, kama Augustine Mrema alivyofukuzwa NCCR?
Kwa hiyo Tundu Lissu atafanya KAZI peke yake?Kuna habari inavuma mitandaoni kwamba Lissu amepanga kufukuza viongozi wote wa kanda, mikoa, na wilaya, pamoja na wajumbe wa mkutano mkuu kwa sababu ni team Mbowe.
Hizi habari ni za kweli?
Je haogopi kupigiwa kura ya kutokuwa na imani naye, na akafukuzwa Chadema, kama Augustine Mrema alivyofukuzwa NCCR?