THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Kuna huyo Babu Njunju aliomba mtu aweke hela ila nyie😂😂Walete Kati mzeee ngozi yatako inaubishi sanaa
Walete Kati mzeee ngozi yatako inaubishi sanaa
Hizi ni baadhi ya Comments za wana Jf nilizochukua Mapema kwenye baadhi ya Nyuzi kabla ya Derby,Ndugu Mpenzi wa Jukwaa leta nyingine kama unayo.
Au nisaidie kuwa-Tag waje wajitetee hapa tena.😂😂
View attachment 2806044View attachment 2806046View attachment 2806047View attachment 2806048View attachment 2806049View attachment 2806050
TABULELEE😂Mashabiki wote wa simba, nawasalimia kwa Jina la Jamhuri ya watu wa Tanganyika. ✋
Kumbe!!😂Sema hii timu wanajikutaga man city yani😂😂
Soon nakuja nayo😂Tafuta yangu uweke hapa.
Tabuleleee!!Acheni haya mambo inatoshaView attachment 2806197
Duu pira objective kumbe siyo zuri
Siku ya Kifo cha nyani, Miti yote huteleza! Au nasema uongo OKW BOBAN SUNZUDuu pira objective kumbe siyo zuri
TupumzisheniSiku ya Kifo cha nyani, Miti yote huteleza! Au nasema uongo OKW BOBAN SUNZU
Muha SibuTupumzisheni
Nahisi tu Mwanamke alivyokua akigongwa Ikichomoka anaishika anaichomeka mwenyewe😂kuna jirani yangu kagongewa mke kisa huu ushabiki mandazi.
Achana nae Ana maumivu Makali huyo KOLOMbona haichukui hata dakika 1, ukiingia kwenye ule uzi wa live update, comment unaziona. Alafu muda unaupata ukishamaliza kazi zako