Hizi hapa baadhi ya Comments za WanaJf Mashabiki wa Simba walizitoa kabla ya Derby

Hizi hapa baadhi ya Comments za WanaJf Mashabiki wa Simba walizitoa kabla ya Derby

Watu wakiambiwa watu wanalia wanabisha au mpaka wasogezewe Camera

Babu Njunju analia balaa baada ya Game hii ni comment kabla ya Game
Screenshot_20231104-211202_Chrome.jpg
 
𝙐𝙏𝙊 𝙇𝙀𝙏𝙀𝙉𝙄 𝙏𝙄𝙈𝙐 𝙐𝙒𝘼𝙉𝙅𝘼𝙉𝙄[emoji16]

Nimeona andiko la Takadini anawaombea Utopolo wenzake eti Mechi isogezwe mbele, Poleni Sana 𝗨𝗧𝗢𝗣𝗢𝗟𝗢 ninyi Hii Mechi ilishapangwa uzuri Hali ya hewa inaruhusu Kwasasa labda mtafute njia Nyingine ya kukwepa hiki kipigo [emoji123].

Ewe mwanasimba Anza kusogea uwanjani Sasa muda Ndiyo huu tukawafumue Utopolo kwa pamoja uzuri tayari washajaa kwenye reli yetu Ni muda Sasa wakwenda kuwazalilisha Vibonde wetu wa msimu uliyopita na Ngao ya Jamii [emoji3].

#NOTE
Leo uto mkiingia tu uwanjani tunafunga mageti yote Hakuna mtu kutoa Timu Kama sikuile mlivyotukimbia, Kuku Nyie [emoji2957].

MOUD Mtanzania #Nainjoy.
 
Kuna jamaa aliahidi atakunya kaja jana kijiweni hajaja toka atoke nduki ile jumapili wana wakamnunulia kiepe kiroho safi kwamba ni utani wa jadi wali asiogope kwani aliongea kwa mihemko ya kishabiki ebwanaa eeh baada ya kumaliza watu wakambadilikia wanataka mavi si aliahidi atakunya
 
Back
Top Bottom