Siku moja Mr. Blue alikua anafanya interview akaongea kwa uchungu sana, natoa ngoma kali ila haziendi popote. Hapo alikua na ile track amefanya Lamar inaitwa ngoma inasakata kama sikosei.. yaani alitoa ule wimbo unaitwa Safari, mkwaju mkali ila mapokeo madogo.. kumbe majamaa yamebana aiseeDah halafu ujue Guru Jamaa Hazeeki nilikutana naye siku moja mpaka nikashangaa Dah...
Ila Guru na Pfunk walikuwa na Roho kama zinafanana tu kwa Hali yake wanafaa kulaumiwa kuhusu kupotea kwa wasanii mbalimbali
Na hyo nyimbi ya Majani si ndo Ile Ilokuwa inasemekana alimuimbia kajala..Aisee umenisanua sana, hii ishu ya J Moe sikua naifahamu. Ila line ya haya sasa nenda kwa J Moe nilijua imekaa kimbwembwe tu kumbe ilikua ina maana.
Nature aliumia sana aisee, ile album nzima alikuwa analia, na huenda ikawa ni album ambayo labda hapendi kuzisikiliza nyimbo zake, maana japo zilimpa hela ila zinamkumbusha machungu.
Sawa na ile forgive me ya P Funk, nahisigi mwamba itakuwa inamkera sana akiisikia siku hizi.
Yeah, alimuimba na akamtaja jina kabisa verse ya 2 kama sikosei.Na hyo nyimbi ya Majani si ndo Ile Ilokuwa inasemekana alimuimbia kajala..
Na kajala sijui anawapaga nini maana wasanii wakiachana naye lazma waimbe nyimbo...
Mcheck harmonise
Na mwishoni nakumbuka Alisema Hii ninkwa ajili ya Mpenzi wangu anyeishi Polisi Osterbay na kajala kipindj hicho ndo alikuwa anaishi huko..Yeah, alimuimba na akamtaja jina kabisa verse ya 2 kama sikosei.
Demu linaonekana lina uchawi wa mapenzi
π€£weka Afande Sele vs Solo Thang
beef tangia 2004 mpaka leo
ukisikiliza na kung'amua mstari kwa mstari utagundua Fid alichezea sana, kanifurahisha alivyo sema Rado "alibahatisha" maana alikubali kichapoFid angekuwa Babu Tale enzi zile angezuia kabisa hii ngoma isichezwe radioni
yuko mbele huko huko, wimbo unamixiwa Bongo,π€£
Hivi solo si Yuko mbele huko ,bifu la nn Tena jmn
huu mstari sikuwa najua kwamba Jay Mo alichapa/tongoza manzihaya Sasa nimeghairi nenda kwa huyo Jaymo"
Nina alikuwa anajiita Nainaππ lidemu lijanja janja..unamkumbuka rafiki yake na Sinta kipindi hicho walikuwa wanaigiza naye alikuwa anaitwa Nina (Mdada fulan alikuwa ana macho fulan hivi) Ndo walienda naye sasa shida ikaja Nina alipobanwa sana na Nature aliporudi Bongo baada ya scandel kuzagaa mwenye magazeti ya udaku ya shigongo ikabidi aropoke tu Mzigo wake umeliwa na Dandu π π
Hamna alichapapa...huu mstari sikuwa najua kwamba Jay Mo alichapa/tongoza manzi
nilichokuwa najua, Nature ali refer wimbo wa "Kama Unataka dem" ambao Jay Mo aliwataja madem anaowa-admire, ikiwemo Kajala, na wengine kibao
Story za kubumba, bif lao ni kwamba shetlands ndo aliweka kinyongo na shetlands mwenyewe alikuja kusema mwenyewe.Nasikia bifu la Shetta na Diamond ni sababu Diamond alimkula mama Qayllah
Walipatana lini?
Ni mambo ya kibiashara na hiyo ilitokana na kina salam kuanza kulinda brand ya msanii wao diamond aliacha kufanya kaz na wasanii wa bongo hata kuonekana tu ni mpka matukio maalum.Sababu kuu ndio hiyo ,Shetta wivu ulimzidi akahisi Diamond anatembea na mama Qayla na wapambe walimjaza sana.
Kukaa mbali na Diamond kukampoteza mazima Shetta maana alikuwa swahiba mkubwa na Diamond so walivyogombana na kukaa mbali naye mashabiki pia tukamtenga na yeye akapoteza mazima ndipo akaangukia mambo ya siasa.
Japo Shetta ukimuuliza atakwambia mambo ya kibiashara ndiyo yaliyowaweka mbali kipindi hicho japo kwa sasa urafiki umerudi sema sio maswahiba sana kama kipindi hicho 2014 kushuka chini.
Hawa walipatana na walitoa wimbo unaitwa "tusahau".Na la Oten n Afande ambaye..
Oten alisema adui yake mkubwa ni msindi na kwenye kifo chake asije..π
π¬ π¬ π¬ π mistari ina code ngumu sana, nisingeweza ng'amua kwa kweliHamna alichapapa...
Uliwahi kupata muda kuisikiliza Sitaki demu Rmx aliyoimba na BK...
Sitaki demu ya Kwanza madhani uliielewa..kipande cha Jaymoe..
Ngoja nikuwekee Verse ya pili ya huo wimbo RMx Ya Sitaki demu halafu nikufafanulie....
Kanuni ya kisanii Ngoma ukweli unamata,
Utaipata pata pata pataa,
Na the saga continue ,Kisa kinaendelea,
Nilipoingia Ndani ya gari nilimkuta msichana bonge Hivi anaitwa Jack, samahani lakini Sikupaki eeh,
Akasema mi naomba twendeni njari tukale,
halafu tukitoka hapa mmh mkalale,
Zikapita hatua Mbili tulipendana sio siri,
Mapenzi yaliiva yakawa yale ya kijasiri,
Nikapata Trip moja kwenda Tanga kusafiri,
Niliporudi mama yangu Magari,
Leo nissan patrol,Kesho pickup nyeupe inayoendeshwa na yule bishoo, Nikimuuliza ugomvi eeh kaka angu,
Nikimuliza ugomvi ooh baba angu..
We mtoto we unamuongopea nani hapa,
Wakati hapa mjini ukiwa nazo unakata,
Simu kila sekunde ya kazi moja za mapenzi kumi,..............
......
Kama utakumbuka Jay mo kipind hicho alikuwa na gari fullan hivo nyeupe Pick up ilikuwa inasemekana ni ya kwao lakini..
Na kipindi hicho ndo watu walikuwa wanamwita sana Bishoo na mpaka akatoa ile nyimbo ya We bishoo kama unakumbuka...
Japo nahisi waliyamaliza maana walianza kufanya ngoma pamoja kama zaman...
Ile ngoma yao ya 2002 inaitwa mshamba..
Na zingine zipo zilifuata baada ya bifu
Yeah umenikumbusha ile (tusahaau yakiyopita na tugange) yeeh nimekumbuka mkuu Shukrani sanaHawa walipatana na walitoa wimbo unaitwa "tusahau".
Kwenye mstari mmoja Afande aliimba "Japo shetani hapendi ila kwa Mungu ni zaidi ya ushindi"
Hadi leo pia naona Selemani na Philipi wanaongea.
Ile ya kwanza alimletea noma baada ya kumtajaπ¬ π¬ π¬ π mistari ina code ngumu sana, nisingeweza ng'amua kwa kweli
Solo aliamini kama sio yeye basi walau Nigga J a.k.a professor Jay alistahili kupewa ushindi Ila mgambo Sele kushinda aliona n upendeleo wa wazi...Hii diss ilikaa kikuda sana. Chanzo cha bifu ni pale Afande aliposhinda shindano la rapa bora na kupewa gari. Solo alidai yeye ndio alistahili kuwa mshindi na sio "Mgambo Sele". Sijajua kama walishapatana. Ila ile "Mtazamo" ndio inabaki kuwa collabo yangu ya muda wote
Nasikiaga shettah alilipiza akamla mama dangote πNasikia bifu la Shetta na Diamond ni sababu Diamond alimkula mama Qayllah
Walipatana lini?