Hamna alichapapa...
Uliwahi kupata muda kuisikiliza Sitaki demu Rmx aliyoimba na BK...
Sitaki demu ya Kwanza madhani uliielewa..kipande cha Jaymoe..
Ngoja nikuwekee Verse ya pili ya huo wimbo RMx Ya Sitaki demu halafu nikufafanulie....
Kanuni ya kisanii Ngoma ukweli unamata,
Utaipata pata pata pataa,
Na the saga continue ,Kisa kinaendelea,
Nilipoingia Ndani ya gari nilimkuta msichana bonge Hivi anaitwa Jack, samahani lakini Sikupaki eeh,
Akasema mi naomba twendeni njari tukale,
halafu tukitoka hapa mmh mkalale,
Zikapita hatua Mbili tulipendana sio siri,
Mapenzi yaliiva yakawa yale ya kijasiri,
Nikapata Trip moja kwenda Tanga kusafiri,
Niliporudi mama yangu Magari,
Leo nissan patrol,Kesho pickup nyeupe inayoendeshwa na yule bishoo, Nikimuuliza ugomvi eeh kaka angu,
Nikimuliza ugomvi ooh baba angu..
We mtoto we unamuongopea nani hapa,
Wakati hapa mjini ukiwa nazo unakata,
Simu kila sekunde ya kazi moja za mapenzi kumi,..............
......
Kama utakumbuka Jay mo kipind hicho alikuwa na gari fullan hivo nyeupe Pick up ilikuwa inasemekana ni ya kwao lakini..
Na kipindi hicho ndo watu walikuwa wanamwita sana Bishoo na mpaka akatoa ile nyimbo ya We bishoo kama unakumbuka...
Japo nahisi waliyamaliza maana walianza kufanya ngoma pamoja kama zaman...
Ile ngoma yao ya 2002 inaitwa mshamba..
Na zingine zipo zilifuata baada ya bifu