Hizi hapa Jezi mpya za yanga zavuja kabla uzinduzi

Angalau iyo ya pili ila iyo ya kwanza ni majanga kwakweli,jezi aiwekwagi magorofa watani mashati ya bahama ndo uwa yanawekwa mijengo,dah!,,Uto ni Uto aisee.
 
Mi nasubiri official release kutoka kwenye club yenyewe

Jezi famba siku hizi nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…