Hizi hapa Jezi mpya za yanga zavuja kabla uzinduzi

Basi yule mbunifu wao kashawafanya wazezeta eti oooh jezi zimebeba historia we watu wanataka jezi bhana historia iachie Tanu huko
 
Wewe Zile Jezi Ni Kali Huwez Fananisha Na Za Kwenu Zile Kila Sehemu Matangazo Ya Mo, Ngowi Hawezi Design Upuuzi Kama Huo Mnaosambaza Nyie Makolo Aweke Majengo Kwenye Jezi Kwani Ni Shati Hilo.
Haya kashaweka sasa huyo Ngowi wenu kataa tena na hapa
 
Hamza wa ubalozini huyu hapa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wamemuenzi, woiiiiiiiiiiii

Byuti byuti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…