Hizi hapa mechi tatu kali za kimataifa Simba vs Yanga je ni nani atakusanya point nyingi kuliko mwenzie?

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Ligi ya mabingwa Africa pamoja kombe la shirikisho kutimua vumbi kuanzia week ijayo, huku Tanzania ikiwakilishwa na Simba na yanga.

Ikumbukwe kuwa simba na yanga wote wataanzia ugenini, je ni nani atafanya vizuri katika mechi tatu hizi za awali?

👇👇👇👇👇👇
936B56F6-4DCB-420E-A9BC-ADBEFD106B6E.jpeg

6F687367-ADDD-4393-A037-21ED3406C9DA.jpeg
 
Vyura wapo kama hawapo...kimataifa wanakamilisha ratiba tuu..
 
Uto wako na Ratiba nyepesi sana, ila kwasababu wao ni losers basi tutegemee kuona mengi
 
Mnaanza kubwabwaja na kutafuta sababu za kipuuzi puuzi mnajua timu bora ndiyo itakayotoboa na timu ya kuungaunga itajulikana tu mbele ya safari, unakimbilia ratiba wakati kila timu ratiba ziko sawa acha undezi wewe
 
Kwanini mko hapo mlipo?

Hayo ndio mashindano mliyoanza nayo au kwasababu ya kuunga unga mmejikuta mko hapo?
 
Taja timu ulizocheza nazo mpaka ukawepo apo, Wale Ihefu wa msumbiji na Ruvu shooting wa Angola ndio unaona ulipita kwenye timu za maana, acha ujinga
Katika hao waliokutoa taja nani amefikia nusu ya uwezo wa Al Ahly ambaye nampasuaga hapa lusapo?

Hao Al Hilal washawahi chapika home and away

Na leo tunawachapa tena
 
Unatuletea mambo ya miaka ya 2000 uko nenda kamchape tena Aly aaly sasa hivi tuone, na uyo Al hilal unaemsema cheza naye mechi rasmi ya kimashindano tuone kama utaweza kumtoa kwa kikosi chako icho cha wakina kibu
 
Kwenye hio miaka ya 2000 nawe si ulikuwa unashiriki, tuambie ulifika wapi?

Kwani Al Hilal mechi ya kimashindano sijacheza naye?
 
Wapi na wapi? .... timu moja inakusanya points kwenye ligi kuu na timu nyingine kwenye ligi ya daraja la pili
 
Kwenye hio miaka ya 2000 nawe si ulikuwa unashiriki, tuambie ulifika wapi?

Kwani Al Hilal mechi ya kimashindano sijacheza naye?
Hapa tunaongelea current atuongelei past, kwa timu yako iyo uliyonayo sasa unaweza kuwafanyaje hao miamba
 
Back
Top Bottom