Hizi hapa mechi tatu kali za kimataifa Simba vs Yanga je ni nani atakusanya point nyingi kuliko mwenzie?

Hizi hapa mechi tatu kali za kimataifa Simba vs Yanga je ni nani atakusanya point nyingi kuliko mwenzie?

Mbona hizo timu zinazocheza na vyura hazionekani?.ni logo tuu au wanaogopa kuziangalia.... 😆 😛 😛
 
Kila mtu aombee timu yake..ila hizi chuki aisee kwa sasa hakuna uzalendo tenaa...
Nyoka wanasubiria tupate kichapo hyo trh 11 na sisi tunawasubiria kichapo heavy tarehe 12 hahahahhahahha
 
Kila mtu aombee timu yake..ila hizi chuki aisee kwa sasa hakuna uzalendo tenaa...
Nyoka wanasubiria tupate kichapo hyo trh 11 na sisi tunawasubiria kichapo heavy tarehe 12 hahahahhahahha
Na mtachapika haswa, kama vile naziona zile hamsa hamsa zikirejea[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tuombe kheri jumamosi sio mbali. Sijui mmejiandaa kwa visingizio gani safari hii[emoji23][emoji23]
Nani anavisingizio?.ni mara ngapi tunapigwa nje huko...ila baaadae nadhani unajua vizuri...
Ila kwa upepo wa juzi wa kuwapiga nje ndani nadhani inawezekana tukawa tunawafumua mpk huko kwao msimu huu...
 
Mbona umecheza iyo loser ukachomolewa utumbo na kaizer chief baada ya kuroga mpaka uwanja ikashindikana, kama ni loser ulishindwa nini kutoboa
Penati ndio ushindi walioupata na ni kitu ambacho hakitumiwi kama factor ya ku determine ubora wa timu.

Back to you....kwanini kwenye hiyo loser wewe hukufika hatua hiyo?

We ni loser wa namna gani hata kwenye loser una lose?
 
Ulishindwa nini ku win ndani ya 90 mins mpaka usubiri penalty
 
Ulishindwa nini ku win ndani ya 90 mins mpaka usubiri penalty
Easy

Nilikuwa pungufu na ndio advantage waliyopata baada ya mugalu kupigwa red card

We unasababu gani yenye mashiko ya kujitetea kwanini haukufika level hiyo?
 
Back
Top Bottom