stevhinoz
JF-Expert Member
- Jun 15, 2021
- 228
- 509
Mpaka sasa mradi ushafeli kabla ya kuanza.Dar Dodoma ilitakiwa iwe 60,000/-. Hii itaishia kuwa kama mwendokasi za Kimara-Gerezani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa mradi ushafeli kabla ya kuanza.Dar Dodoma ilitakiwa iwe 60,000/-. Hii itaishia kuwa kama mwendokasi za Kimara-Gerezani
Iwe kama mwendokasi.Wajinga mko wengi sana, sehemu yoyote ya huduma ya jamii siyo lazima itengeneze faida, serikali inapaswa kutowa ruzuku ndio kazi ya serikali.
Niliposema kutakuwa na EXPRESS ambayo bei iko juu hukunielewa. Sasa ishatangazwa huko Express 100,000 mpaka 120,000 kituo Moro na Dodoma.Treni moja Ila mabehewa ndiyo Yana daraja mjumbe
Yani kama una mzigo usiwe zaidi ya kilo 30 na 25 kulingana na madaraja.View attachment 3073513
Hiyo namba 6 wameruhusu mizigo kuanzia lini
Hayo mavazi yasiyofaa ni yepi kwanini wasibandike picha kama walivyofanya maofisini
Mimi nilikuwa na begi langu ndani kulikuwa na spea za gari hazikufika hata 5kgs wakanichomoaYani kama una mzigo usiwe zaidi ya kilo 30 na 25 kulingana na madaraja.
Nadhani mizigo imeongelewa jumla ya parcel zote.Maana kuna wengine mtu akibeba mabegi anabeba kama anahama nyumba.
Basi hawaeleweki ni mzigo aina gani wanaruhusu.Mimi nilikuwa na begi langu ndani kulikuwa na spea za gari hazikufika hata 5kgs wakanichomoa
Ni kweli wangeorodhesha vinavyoruhusiwa na visivyoruhusiwaBasi hawaeleweki ni mzigo aina gani wanaruhusu.
Wangeeleza kiupana.