Hizi hapa Nauli Mpya za SGR: Dar - Moro Tsh. 13,000, Dar - Dodoma Tsh. 31,000

Treni moja Ila mabehewa ndiyo Yana daraja mjumbe
Niliposema kutakuwa na EXPRESS ambayo bei iko juu hukunielewa. Sasa ishatangazwa huko Express 100,000 mpaka 120,000 kituo Moro na Dodoma.
 
1723996469209.png

Hiyo namba 6 wameruhusu mizigo kuanzia lini
Hayo mavazi yasiyofaa ni yepi kwanini wasibandike picha kama walivyofanya maofisini
 
View attachment 3073513

Hiyo namba 6 wameruhusu mizigo kuanzia lini
Hayo mavazi yasiyofaa ni yepi kwanini wasibandike picha kama walivyofanya maofisini
Yani kama una mzigo usiwe zaidi ya kilo 30 na 25 kulingana na madaraja.
Nadhani mizigo imeongelewa jumla ya parcel zote.Maana kuna wengine mtu akibeba mabegi anabeba kama anahama nyumba.
 
Mimi nilikuwa na begi langu ndani kulikuwa na spea za gari hazikufika hata 5kgs wakanichomoa
 
Back
Top Bottom