Hizi hapa ni sababu za kwa nini maeneo mengine yana maendeleo makubwa na mengine kidogo(energy way)

Hizi hapa ni sababu za kwa nini maeneo mengine yana maendeleo makubwa na mengine kidogo(energy way)

Wakusolve

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2020
Posts
561
Reaction score
997
Kama hii imewai kukutokea umetoka sehemu moja au eneo moja ulikuwa na wazo la kufanya jambo fulani au biashara ulivyofika eneo hilo ukaghairi au ulikuwa na confusion(kujiuliza sana )na mwisho kuliacha sababu ni hii

Katika kila eneo kuna kuwa na energy(nguvu) fulani kwa mambo fulani ndani ya eneo hilo.

kuna maeneo fulani, jamii ya eneo hilo wana amini ukifanya biashara, mradi, kazi fulani uwezi fanikiwa hivyo hiyo energy uleta athari kwa wageni wakitaka kufanya hizo shughuri ndani ya eneo hilo kama awapo vizuri kiroho na mindset(mtazamo).

Mfano ulikotoka ulikuwa na lengo la kuanzisha biashara au mradi fulani unafika kwenye eneo hilo mara unaanza kupata wasiwasi, unajiuliza maswali mengi, unataka kukata tamaa jua basi energy za watu husika wa eneo hilo zimekuathiri wewe bila ata kujua.

Na hii inapelekea baadhi ya sehemu kuwa na maendeleo makubwa tofauti na maeneo mengine sababu Maeneo mengine imani za watu(energy) kuusu biashara, miradi, kazi n.k ni kubwa hivyo ata kama utakuwa mgeni basi ni rahisi kufanikiwa .

Mfano mzuri ni Dar es salaam, Watu wana amini ni rahisi kufanikiwa ukipambana hii energy inasaidia watu wengi kufanikiwa sababu energy ya Dar es salaam kuhusu mafanikio ni kubwa na kupelekea watu wengi kufanikiwa.

Nini cha kufanya ili kushinda maeneo yenye low energy cha kwanza ni muhimu kumuomba Mungu sehemu yoyote mpya unayoanza kufanya shughuri zako hivyo huta athiriwa na energy ya eneo la watu husika.

Pili ni lazima uwe na mindset(ukomavu wa akili) hii itakusaidia kupambana bila kukata tamaa sababu ukiwa na mindset nzuri ni rahisi kuwa na imani ya kile unachokifanya hivyo ni rahisi kufanikiwa.
 
Mfano maeneo ya pwani, maendeleo ni ngumu, kwa sababu mda wote wanawaza kuto-mba-na tu.
 
Siyo kwa sababu ya energy ya eneo, bali mtazamo wa watu, mazingira ya biashara, fursa na miundombinu.

Maeneo yenye watu wenye mindset ya kuthubutu na fursa nyingi always yanaonekana kama yana energy kubwa ya mafanikio.
 
Hamna cha energy wala nini ni fursa tu kwa Tanzania DAR Kuna fursa nyingi ukicompare na eneo lolote
 
Back
Top Bottom