Hizi hapa ni Sababu za msingi kwa Watu wote kuichangia Chadema ili kusambaza "NO REFORM NO ELECTION"

Hiyo namba iliyowekwa pale juu ni sahihi, nataka nirushe 50,000 jioni ya leo. Hakikisheni pesa zetu zinatumika kwa matumizi sahihi safari hii.
Risit utapewa ili kuthibisha kwamba pesa zako hazijanunuliwa konyagi ya Mwenyekiti?
 
Kwenye uongozi wa mbowe michango ya ovyo ovyo kama hii haikuwepo, lisu kama chama kimemshinda amrudishie mbowe chama chake
 
Kama chadema hadi leo hii 2025 hamna mradi unaoleweka wa kuwaingizia pesa kuendesha chama... Maana yake hamuwezi kuongoza hata Kata useless hopeless nyie...
Mkiendelea kutaka michango maana yake mtadhaminiwa soon as possible na mashoga na hatimaye chama kitakuwa na mlengo wa kishoga... Japo taarifa zilizopo Lissu anapokea pesa za mashoga jambo ambalo lilileta migogoro ndani ya chama...
Naichukia ccm ila ni heri ccm idumu miaka 100 kutawala Tz kuliko kuicha chadema na upuuzi wake
 
Hoja yako ni dhaifu
 
Chadema haijawahi kupora majengo ya serikali wala haijawahi kujimilikisha viwanja vya soka
 
Lazima nichange
 
Mnatoa mwanya wa watu kuja na tafisri zao. Kuwa aligned zaidi na mataifa ya magharibi ni kuzipa nguvu tuhuma za kwamba viongozi wenu ni vibaraka wa Wazungu!
Atakayewaza hivyo atakuwa mjinga sana, hii ni kwa sababu viongozi walio madarakani leo ndio wanaokesha kuombaomba kwa wazungu.

Kingine ni hiki, unawezaje kupeleka malalamiko ya Demokrasia kwenye ubalozi wa Uganda au Rwanda?
 
Tupo tayari, tunaomba utaratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…