Gentleman,Uchungu wa kuzaa bado? Unaumia ukiwa wapi mtafiti uchwara?
Mimi ninazo na naweza kukusaidia kila kitu huko kwako usiwe na wasiwasi ila propaganda za kiccm hazinatija kwa hapa.Gentleman,
naona unashupaza shingo ili kupata uzoefu wa kutapeliwa na kibaka wa siasa za Chadema,
mpaka uje kujitambua, utakua umehenyentwa maokoto ya kutosha na umechoka vizuri sana kiuchumi 🐒
Lissu ameumbia umma kuwa former chairman amepokea pesa kutoka kwa mama abdul japo hatumjui ndio nani za kuisaidia chadema!Ni vema ukijikita kwenye mada
Kwani umelazimishwa?Acheni utapeli, mna tofauti gani na kiboko ya wachawi?? Mwenyekiti wenu mpya tulimchangia kununua gari mpaka leo hajanunua. Mnasema wananchi wana umaskini wa kutupwa, hizo fedha za kuchangia watazitoa wapi? Ulaghai.
Pia tunaaswa kuchangia sana ili watawala wajue kuwa wananchi kweli wamechoka tuchangie kila mtu kuwatia moyo wapambanaji tuchangie kama hatuna akili nzuri, usiangalie wewe chama gani au huna chama, viongozi wamekuwa jeuri kwakuwa wanajua nchi hii hakuna uchaguzi na vyama vina hali ngumu kifedha na mara nyingi wanawahinga viongozi wakuu wa vyama ili wafifishe harakti ila safari hii wamekutana na kigagashi hali rushwa, hatishwi na hatishiki na wala hafi kwa risasi na hana biashara yoyote ya kuhofia kupoteza ni yeye kama yeye tumuunge mkono Lisu. Usindi upo karibu sana. Ulimwengu utambue kuwa wale Watanzania ambao Mzee Jomo Kinyata alimwambia Nyerere kuwa anatawala Maiti, wawaone kuwa Maiti zimeamka. Mama ntilie machinga, mwalimu, mfanyabiashara, Polisi, mwanajeshi, mfanyakazi serikalini, secta binafsi, mwanafunzi, na yoyote yule mwenye mapenzi y,, ya nchi hii changia harakati hizi, changia mapambano haya, hata kama CDM hitashinda ila kukiwa na mifumo mizuri ya kupata viongozi hata hao wa CCM watatueshimu. Kwa sasa waafanya maamuzi wanayopebda wao kwakuwa wanajua kua watawaengua robo tatu ya wapinzani na robo itayobaki watawafanyia vitimbwi kwenye box la kuraKwanza kabisa natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja
View attachment 3235360View attachment 3235361
Umuhimu wa kuchangia Chadema kwenye jambo hili ni huu hapa.
1. Kuwezesha uchaguzi wa huru na haki
2.Kumtukuza Mungu kwa kuondoa dhuluma zote za Uchaguzi
3.Kukomesha viongozi kurithisha Watoto wao vyeo.
4 Kuwezesha Wananchi kuchagua viongozi wawatakao
5.Kuondoa Uchaguzi kwenye mikono ya dola na kuwarejeshea Wananchi wenyewe
6.Kuweka Usawa kwa Wagombea wote wa vyama vyote
7.Kuepusha Mauaji kama yale ya Akwilina na Wengine
8.Kulinda Utu na Heshima ya Nchi, Nchi isiyo ya kidemokrasia inadharauliwa
9.Kuepuka Laana ya Mungu.
10.Kupata viongozi halali wataowaheshimu Wananchi wao
View attachment 3235362
Jambo kubwa Zaidi kuliko yote ni hili, kuchangia kampeni ya kutafuta uchaguzi wa haki ni sawa na kufanya kazi ya Mungu, Tegemea thawabu siku ya kiama, Hii ni sawa na kujiwekea akiba kwenye akaunti ya Mungu.
Sisi tunachangia,sema wewe huchangiihapo mmefeli pakubwa sanaaa hakuna mtu anawaamini tena kuwachangia mmeshakula nyingi sana hizo hapo tena mmeandika jina la lissu yaaanizianenda kuwa zinaliwa kama zilivyo tafuteni mapopoma wenzenu wakuwachangisha tumeshawashtukia muda sana wizi mtupu huo
Empty headChadema inachangishaje wakati Lisu aliaminisha wapiga kura wajumbe kuwa makao kuna pesa kibao yeye kama makamu mwenyekiti anajua ila zinaliwa na Mbowe na genge lake haziendi hata matawini na akapewa kura kuwa mwenyekiti
Akajidai Yeye Lisu akishika madaraka ya uenyekiti atahakikisha hela zinaenda matawini
Sasa anataka kumchangisha nani tena? Wakati makao makuu kuna mipesa kibao? Utapeli una nukta hauna maisha
Hizo pesa alizosema ziko makao makuu zitumike hizo.Hachangishwi mt
Wana Chadema msikubali kuchanga kama vichwa vyenu viko vizuri hiyo itasaidia kukomesha siasa za ulaghai kusaka vyeo au kura.au uteuzi ndani ya Chadema
Kupambana na ulaghai na Utapeli kunatakiwa kuanzia ndani ya vyama
Wanachadema mkakamalieni Lisu hakuna michango tunataka mipesa iliyoko.makao.makuu ije matawini na kanda
Chama ni cha mbowe? Wewe ni maiti inayotembeaKwenye uongozi wa mbowe michango ya ovyo ovyo kama hii haikuwepo, lisu kama chama kimemshinda amrudishie mbowe chama chake
Hata hao wapeni tuendelee kuweka rekodi za unafikinwao. Msiwape mlango wa kujifichia.Wiki ijayo tunasambaza Waraka ofisi zote za Mabalozi (Kasoro mabalozi wa Nchi za kiafrica)
Tunataka kwanza Taarifa za Mapato na Matumizi ya;Kwanza kabisa natanguliza salamu, baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye hoja
View attachment 3235360View attachment 3235361
Umuhimu wa kuchangia Chadema kwenye jambo hili ni huu hapa.
1. Kuwezesha uchaguzi wa huru na haki
2.Kumtukuza Mungu kwa kuondoa dhuluma zote za Uchaguzi
3.Kukomesha viongozi kurithisha Watoto wao vyeo.
4 Kuwezesha Wananchi kuchagua viongozi wawatakao
5.Kuondoa Uchaguzi kwenye mikono ya dola na kuwarejeshea Wananchi wenyewe
6.Kuweka Usawa kwa Wagombea wote wa vyama vyote
7.Kuepusha Mauaji kama yale ya Akwilina na Wengine
8.Kulinda Utu na Heshima ya Nchi, Nchi isiyo ya kidemokrasia inadharauliwa
9.Kuepuka Laana ya Mungu.
10.Kupata viongozi halali wataowaheshimu Wananchi wao
View attachment 3235362
Jambo kubwa Zaidi kuliko yote ni hili, kuchangia kampeni ya kutafuta uchaguzi wa haki ni sawa na kufanya kazi ya Mungu, Tegemea thawabu siku ya kiama, Hii ni sawa na kujiwekea akiba kwenye akaunti ya Mungu.
muulize tu mbona alichangiwa anunua gari jipya na hajanunua mpaka leo na bado anaomba kuchangiwa pesa tena 🐒Mimi ninazo na naweza kukusaidia kila kitu huko kwako usiwe na wasiwasi ila propaganda za kiccm hazinatija kwa hapa.
Safari hii kwa mara ya kwanza nitachangia.Chadema yeyote akichangia kachemka heri hiyo pesa awape maskini au atoe sadaka kanisani
Atabarikiwa
NAFURAHI KUONA WATANZANIA WAMEAMKA SASA, KABLA YA KUCHANGA TUHOJI ZILE ZOTE ZA AWALI, CHADEMA NI TAASISI, INAENDESHWA KWA MAHESABU, TUPIGIWE MAHESABU NA MATUMIZI, NDIPO TUANZE KUCHANGIA UPYA, PIA MBOWE ASIANGUSHIWE JUMBA BOVU, KWA SABABU CDM NI TAASISITunataka kwanza Taarifa za Mapato na Matumizi ya;
a) Join the chain
b) Pesa ya kununulia gari aliyekuwa Makamu Mwenyekiti ambaye sasa ni Mwenyekiti.
c) Pesa zote za Chadema Digital
d) Pesa za ruzuku tangu 2020 hadi sasa
Chadema ya sasa iliahidi ukweli na uwazi kwenye Mapato na Matumizi, hivyo tunaomba tatizo hizo ili tufikirie kuwashawishi wachangiaji!!
Uko sahihi.Mali bila dafttari na ripoti hupotea kimyakimya bila taarifaNAFURAHI KUONA WATANZANIA WAMEAMKA SASA, KABLA YA KUCHANGA TUHOJI ZILE ZOTE ZA AWALI, CHADEMA NI TAASISI, INAENDESHWA KWA MAHESABU, TUPIGIWE MAHESABU NA MATUMIZI, NDIPO TUANZE KUCHANGIA UPYA, PIA MBOWE ASIANGUSHIWE JUMBA BOVU, KWA SABABU CDM NI TAASISI