Hizi hapa njia nyepesi za kujikinga na wachawi

Hizi hapa njia nyepesi za kujikinga na wachawi

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Habari

Naomba kuwathirisha nondo kidogo ambazo nimepata kwa wakulungwa na wakali wa hizi kazi

Kama unazo ambazo hatujui ziweke hapa

Ila kwa kuanzia hizi hapa

1. Kipande cha mti wa muhogo (siyo muhogo mpira )

2. Kipande cha shaba (bangili ya shaba vaa mkononi)

3. Chumvi ya mawe

Kubwa ambayo ni kuliko zote ni kumcha Mungu hizo zote ni takataka kama una Mungu wako kama ni muislamu mche Allah S.A.W

Kama ni mkristo mche Yesu Kristo

Kama unanjia ambayo hapo juu haipo iweke hapo chini tupate nondo
 
Mbona mtoa mada unajikita kwenye mbinu za kukaribisha uchawi
 
Back
Top Bottom