Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Wanadai BANGILI ya Shaba!
...Bangi au Bangili ?...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...Bangi au Bangili ?...
...Bangi au Bangili ?...
ndo inasaidia nini?Chumvi ya mawe unaiweka kwenye kona za nyumba
Ukifanya hivyo ndo hulogeki au?Mchawi ogopa mti wa Muhogo kama unawaogopa hawa wapumbavu weka kijiti cha Muhogo kitandani, ukitembea usiku vijijini shika mti wa Muhogo kama walking stick
YesUkifanya hivyo ndo hulogeki au?
Geuza nguo ya ndaniHabari
Naomba kuwathirisha nondo kidogo ambazo nimepata kwa wakulungwa na wakali wa hizi kazi
Kama unazo ambazo hatujui ziweke hapa
Ila kwa kuanzia hizi hapa
1. Kipande cha mti wa muhogo (siyo muhogo mpira )
2. Kipande cha shaba (bangili ya shaba vaa mkononi)
3. Chumvi ya mawe
Kubwa ambayo ni kuliko zote ni kumcha Mungu hizo zote ni takataka kama una Mungu wako kama ni muislamu mche Allah S.A.W
Kama ni mkristo mche Yesu Kristo
Kama unanjia ambayo hapo juu haipo iweke hapo chini tupate nondo