Hizi hela tunazolipia dating sites hatuokoti jamani

Dating sites nyingi zimejaa jamii za Asia hasa wahindi, wapakistan....

Hawa watu wanapenda mitandao sijui kwasababu wengi.

Hadi FB na IG unaweza kutumiwa meseji ukadhani mdada mrembo ukireply unakutana na lihindi lizee....sijui wanashinda gani hawa watu.
 
Hiz kitu hasa wadada wanafanya.

Wanaweka picha zao za miaka ishirini iliyopita, ngoja sasa siku muonane utachoka.

kuna mmoja kidogo nimkimbie pale mabibo aisee.nmeshaapa next tym sitaki huu ujinga nikikuta chengikota ntafanya mtu kitu mby
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…