Hizi hela tunazolipia dating sites hatuokoti jamani

Hizi hela tunazolipia dating sites hatuokoti jamani

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1565978616893.jpeg


Unakuta profile picture ni hii ya kulia, mkikutana kwenye actual date ni huyu wa kushoto.

Mtuonee huruma jamani.
 
Dating sites nyingi zimejaa jamii za Asia hasa wahindi, wapakistan....

Hawa watu wanapenda mitandao sijui kwasababu wengi.

Hadi FB na IG unaweza kutumiwa meseji ukadhani mdada mrembo ukireply unakutana na lihindi lizee....sijui wanashinda gani hawa watu.
 
Hiz kitu hasa wadada wanafanya.

Wanaweka picha zao za miaka ishirini iliyopita, ngoja sasa siku muonane utachoka.

kuna mmoja kidogo nimkimbie pale mabibo aisee.nmeshaapa next tym sitaki huu ujinga nikikuta chengikota ntafanya mtu kitu mby
 
Back
Top Bottom