Zegota
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 341
- 719
Niko hospital ya wilaya ya Butiama mda huu. Mama yake na rafiki yangu amepata ajali ya pikipiki, mguu kuanzia kwenye mapaja mpaka kikanyagio haufai, nyama hakuna mifupa Iko nje.
Picha linaanza anafikishwa hospitali anawekwa pembeni mnaambiwa daktari hayupo, hamna huduma yoyote na ukimuangalia mgonjwa hutamani kumuangalia mara ya pili. Baada ya masaa daktari anafika, anasema Kwa hali hii hapa hatuwezi.
Kuandika rufaa kwenda hospitali ya mkoa watu wanajivuta, mpaka ndugu wanawakoromea lakini masaa yanapita.
Mama watu anaugulia maumivu, na vile huku hamna hospitali nzuri ya Private ni shida tupu. Masaa manne mpaka Sasa mgonjwa bila huduma na Yuko serious.
Hivi Hawa madaktari Huwa haumwi? Unaweza kumchapa mtu ngumi
Wazee tutapambane kutafuta hela, tuishi mikoa yenye huduma muhimu. Hizi hospitali za serikali ni utopolo, wengi huku wanakufa Kwa kukosa huduma na hakuna anayejali.
Haya ninayojionea yanatia hasira