Zegota
JF-Expert Member
- Jun 5, 2020
- 341
- 719
- Thread starter
- #81
Zanzibar wako vizuri mkuu sio kama baraMkuu, niliwahi kumpeleka mtt hospital ya mnazi mmoja zanzibar baada ya kupata ajali, tena ilikuwa usiku. Aisee wale wahudumu wa siku ile walikuwa kama malaika wameshushwa toka mbinguni. Imagine kitengo cha emergency kinavokuwa busy, tena usiku, lkn watu wanafanya kazi kwa uchangamfu utadhani mchana. Yaani km customer care wale niliwapa 100%
Kwa hio sio wafanyakazi wote wa hospital za serikali wapo hivyo, inategemea ntu na ntu