Hizi hospital za serikali omba Mungu sana usipelekwe huku ukiwa serious. Unaweza kufa na wahudumu wa afya Wala hawajali

Zanzibar wako vizuri mkuu sio kama bara
 
Mimi mpaka leo nashindwa kuzielewa zahanati na kituo cha afya

Watumishi wanaofanya kazi kwenye hv vituo hasa huku kwetu ni changamoto sana,unakuta kuna tatzo ambalo zahanati wanaweza kukusaidia wanakwambia nenda kituo cha afya yaan wanajisikia kuchoka tu wanakupush mbele,afu kuna wengine usiku hawaamki,mnaweza kufia mlangoni kwake kabuda tu

Kituo cha afya nako ni vile vile,ukifika wakiwa hawana mood wanakusukuma mbele hata kama wanaweza kukusaidia,kuna kituo huku kwetu kina wauguzi wengi tu na Co wengi tu lakin cha ajabu kwa siku unakuta mmoja tu ndo anapga kaz wengine ni kupiga story tu sjui huu utaratibu walionaje kama unafaa,yaan huyo mmoja azalishe,bado asikilize wagonjwa wengine
 
Nje na mada, mimi kuna hospital kubwa ya mkoa pale tabora, baada ya kupita kusiko wakat naenda kutafuta pep kwakuwa ilikuwa mara yangu ya kwanza na sijui, waliniona boya ,wakaniomba elfu 70000, then sijui wawnde police mara wachukue pf3, πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£ niliwaaga kuwa naenda kutafuta sikurudi.
 
I wish kila sekta Ingekuwa na plat form ya kutoa malalamiko
 

Nakubaliana na wewe siyo wote na ndiyo maana nikasema kuna possibility ya ma Dr wanaenda kupiga mishe nyingine zao na kuacha hospital bila ma Dr....Yaani imagine Dr mmoja anahudumia hospital nzima na wagonjwa wapo kibao ,mtu anaenda saa moja A.M anakuja kuonwa na Dr saa nane mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…