Bavarian8
JF-Expert Member
- Oct 20, 2018
- 656
- 1,447
Kwani ZEMBWELA , KITENGE NA HANDO ni chama Cha Siasa?Utatu Mtakavitu wa Zembwela, Kitenge na Hando una nguvu kuliko CHADEMA nzima.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ZEMBWELA , KITENGE NA HANDO ni chama Cha Siasa?Utatu Mtakavitu wa Zembwela, Kitenge na Hando una nguvu kuliko CHADEMA nzima.
Umeona dalili za jangwa??Hiyo hotel inaonekana ni ya nchi ya kiarabu.
Bongo ili uonekane huna Hela inakubidi usiweke wazi kila ulifanyalo 😏Mzuka wanajamvi!
Huyu Mwamba Mungu amtangulie.
Hizi jeuri za pesa na matanuz anazitoa wapi?
Ikumbukwe kuna lindi la umaskini katika jamii yetu. Na hulka ya mtu mweusi ni chuki, uchawi, fitina, umbea na majungu. Punguzeni hizi jeuri na jazba
Maulid asidhanu tunafurahi kutanua na kula bata kwake. Tunamaindi kichiz. Lazima wote tuwe sawa bana.
Yani jamaa hatulii utadhani jamii ya kuku anataga.
Leo yuko Sweden, kesho Australia keshokutwa marekani. Wakati sisi wingine kajamba nani kufika Nyarugusu tu ama Bukombe ni shughuli. Halafu anaposti mapichamapicha na kutuzidishia maumivu.
Maulid juwa hatupendezwi. Mmatumbi kikawaida siyo mchawi lakini kuna sababu zinampelekea kuwa mchawi na kuroga. Tunakula mara moja baada ya siku tatu halafu mnaturingishia lazima turoge tu wote tuwe sawa.
Kuleni bata kimya kimya huko na jeuri zenu za fedha sijui mnatowa wapi.
Anapumu....LIWAMzuka wanajamvi!

TUhuma za kuwa jamaa ni jamii ya MSHALE yana ukweli?IGa ,Majibu utapata mwombe connection
"Mungu amtangulie''Live the life u love,love the life u live.
Pole sanaAtazilipa soon
How.. amekanyaga ganda la ndizi kuwakebehi WaTanganyika
Muda utaongea vizuri
We una uhakika gani hajawekeza? Au hadi akutangazie?Yele jamaa Binafsi nilimpuuza.
MTU YOYOTE mwenye Hela Huwa anafanya UWEKEZAJI na si MATUMIZI ya anasa.
TUNAONA WATU WENYE Hela Wana Miradi ya maana SIO Kila siku safari..
MASIKINI AKIPATA MATKO HULIA MBWATA.
Hili neno itakua zaidi ya ulivyoandika..."Mungu amtangulie''
Huoni ina architecture ya misikiti?Umeona dalili za jangwa??