Hizi jeuri za fedha Maulid Kitenge anazitoa wapi?

MAULID KITENGE sio tajiri Bali amezungukwa na watu masikini,na wengi wapo humu jf.
 
Attachments

  • 20240401_044121.jpg
    20240401_044121.jpg
    162.2 KB · Views: 3
Mzuka wanajamvi!

Huyu Mwamba Mungu amtangulie.

Hizi jeuri za pesa na matanuz anazitoa wapi?

Ikumbukwe kuna lindi la umaskini katika jamii yetu. Na hulka ya mtu mweusi ni chuki, uchawi, fitina, umbea na majungu. Punguzeni hizi jeuri na jazba

Maulid asidhanu tunafurahi kutanua na kula bata kwake. Tunamaindi kichiz. Lazima wote tuwe sawa bana.

Yani jamaa hatulii utadhani jamii ya kuku anataga.

Leo yuko Sweden, kesho Australia keshokutwa marekani. Wakati sisi wingine kajamba nani kufika Nyarugusu tu ama Bukombe ni shughuli. Halafu anaposti mapichamapicha na kutuzidishia maumivu.

Maulid juwa hatupendezwi. Mmatumbi kikawaida siyo mchawi lakini kuna sababu zinampelekea kuwa mchawi na kuroga. Tunakula mara moja baada ya siku tatu halafu mnaturingishia lazima turoge tu wote tuwe sawa.

Kuleni bata kimya kimya huko na jeuri zenu za fedha sijui mnatowa wapi.

Ngada?
 
+ DÉBORA USA =

Msake mange kimambi anakuambia kila kitu
 
Ana wanawake wanamlea , angalia Mange ameposti wanawake wawili wanaomlea ,bado wa hapa bongo wanaomlea.
 
Mzuka wanajamvi!

Huyu Mwamba Mungu amtangulie.

Hizi jeuri za pesa na matanuz anazitoa wapi?

Ikumbukwe kuna lindi la umaskini katika jamii yetu. Na hulka ya mtu mweusi ni chuki, uchawi, fitina, umbea na majungu. Punguzeni hizi jeuri na jazba

Maulid asidhanu tunafurahi kutanua na kula bata kwake. Tunamaindi kichiz. Lazima wote tuwe sawa bana.

Yani jamaa hatulii utadhani jamii ya kuku anataga.

Leo yuko Sweden, kesho Australia keshokutwa marekani. Wakati sisi wingine kajamba nani kufika Nyarugusu tu ama Bukombe ni shughuli. Halafu anaposti mapichamapicha na kutuzidishia maumivu.

Maulid juwa hatupendezwi. Mmatumbi kikawaida siyo mchawi lakini kuna sababu zinampelekea kuwa mchawi na kuroga. Tunakula mara moja baada ya siku tatu halafu mnaturingishia lazima turoge tu wote tuwe sawa.

Kuleni bata kimya kimya huko na jeuri zenu za fedha sijui mnatowa wapi.

Kumbe anapokea miamala ya wanawake anaowadanganya amewaoa. Hivi huyu jamaa ana wanawake wangapi? Maana kila kona anayoenda amewekeza, tena kisheria
 
Back
Top Bottom