Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa spirit hii… utakufa domo waziMzuka wanajamvi!
Huyu Mwamba Mungu amtangulie.
Hizi jeuri za pesa na matanuz anazitoa wapi?
Ikumbukwe kuna lindi la umaskini katika jamii yetu. Na hulka ya mtu mweusi ni chuki, uchawi, fitina, umbea na majungu. Punguzeni hizi jeuri na jazba
Maulid asidhanu tunafurahi kutanua na kula bata kwake. Tunamaindi kichiz. Lazima wote tuwe sawa bana.
Yani jamaa hatulii utadhani jamii ya kuku anataga.
Leo yuko Sweden, kesho Australia keshokutwa marekani. Wakati sisi wingine kajamba nani kufika Nyarugusu tu ama Bukombe ni shughuli. Halafu anaposti mapichamapicha na kutuzidishia maumivu.
Maulid juwa hatupendezwi. Mmatumbi kikawaida siyo mchawi lakini kuna sababu zinampelekea kuwa mchawi na kuroga. Tunakula mara moja baada ya siku tatu halafu mnaturingishia lazima turoge tu wote tuwe sawa.
Kuleni bata kimya kimya huko na jeuri zenu za fedha sijui mnatowa wapi.
Halafu tabia ya kupost picha ni tabia za kike. Mwanaume nI msiri.Utatu Mtakavitu wa Zembwela, Kitenge na Hando una nguvu kuliko CHADEMA nzima.
napata ukakasi alikua anajidangisha kwa wanawake zake argh..debora bwana🙌Mrs Besyige ukakasi wa nini? Zile transaction kutoka kwa Debora? Alikuwa anamwagilia maji penzi jamani.