Hizi jeuri za fedha Maulid Kitenge anazitoa wapi?

Bongo ili uonekane huna Hela inakubidi usiweke wazi kila ulifanyalo 😏
 
Anapumu....LIWA
Ni tetesi tu usiwazingatie walimwengu, mbona hajawahi kusafiri na familia? Au hata mkewe?
 
Yele jamaa Binafsi nilimpuuza.

MTU YOYOTE mwenye Hela Huwa anafanya UWEKEZAJI na si MATUMIZI ya anasa.

TUNAONA WATU WENYE Hela Wana Miradi ya maana SIO Kila siku safari..

MASIKINI AKIPATA MATKO HULIA MBWATA.
We una uhakika gani hajawekeza? Au hadi akutangazie?
 
Gari la kawaida,njooni hapa Morocco mchana muone watu wanapita na gari Kali,mbona hio ya kuendea sokoni
 
Eti huku mtaani kwetu tandale, maskani yetu chaka bovu,, kuna wana nimewasikia kuwa mwamba mitikasi anauza chakusongea ugali Eti,,, 🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…