A amolin Member Joined Dec 5, 2024 Posts 10 Reaction score 14 Dec 14, 2024 #1 Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni
Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Dec 14, 2024 #2 amolin said: Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni Click to expand... Alipe
amolin said: Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni Click to expand... Alipe
Mad Max JF-Expert Member Joined Oct 21, 2010 Posts 26,961 Reaction score 77,890 Dec 14, 2024 #3 Yamefungwa kuendelea kukopesha, ila waliokopa walipe,
M mihapase JF-Expert Member Joined Aug 30, 2024 Posts 944 Reaction score 994 Dec 14, 2024 #4 amolin said: Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni Click to expand... BRANCH mbona hawasumbui angekopa onepesa sasahivi angekuwa hospitali kalazwa watu wanavyo pata shida nao
amolin said: Kampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda. Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni Click to expand... BRANCH mbona hawasumbui angekopa onepesa sasahivi angekuwa hospitali kalazwa watu wanavyo pata shida nao
A amolin Member Joined Dec 5, 2024 Posts 10 Reaction score 14 Dec 14, 2024 Thread starter #5 mihapase said: BRANCH mbona hawasumbui angekopa onepesa sasahivi angekuwa hospitali kalazwa watu wanavyo pata shida nao Click to expand... Wanampateje sasa akati ni online
mihapase said: BRANCH mbona hawasumbui angekopa onepesa sasahivi angekuwa hospitali kalazwa watu wanavyo pata shida nao Click to expand... Wanampateje sasa akati ni online
K Kisesetusese JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 393 Reaction score 615 Dec 14, 2024 #6 amolin said: Wanampateje sasa akati ni online Click to expand... Landa wanamfuata kwa gps
K Kisesetusese JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 393 Reaction score 615 Dec 14, 2024 #7 Mad Max said: Yamefungwa kuendelea kukopesha, ila waliokopa walipe, Click to expand... Walipe ile damu maana ni nyonya nyonya damu ikauke
Mad Max said: Yamefungwa kuendelea kukopesha, ila waliokopa walipe, Click to expand... Walipe ile damu maana ni nyonya nyonya damu ikauke
K Kisesetusese JF-Expert Member Joined Sep 12, 2022 Posts 393 Reaction score 615 Dec 15, 2024 #8 Kuna wale wanaitwa twiga loan