Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AlipeKampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda.
Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni
BRANCH mbona hawasumbui angekopa onepesa sasahivi angekuwa hospitali kalazwa watu wanavyo pata shida naoKampuni ya branch ilikuwa miongoni mwa microfinance sumbufu cha ajabu imeachwa ina dunda.
Kuna jirani angu anateswa na sms za vitiasho haki ya kuwa ameahidi kumaliza deni
Wanampateje sasa akati ni onlineBRANCH mbona hawasumbui angekopa onepesa sasahivi angekuwa hospitali kalazwa watu wanavyo pata shida nao
Landa wanamfuata kwa gpsWanampateje sasa akati ni online
Walipe ile damu maana ni nyonya nyonya damu ikaukeYamefungwa kuendelea kukopesha, ila waliokopa walipe,