Usijibu vitu usivyojua; ungefanya jitihada ndogo ku-google jina la Katherine Harris kabla hujaandika pumba hizi. Mgogoro kwenda Supreme Court ni baada ya hao kuwa wamechakachua na Gore alitaka zoezi lifanyika kwa kina kuondoa uchakachuaji, jamaa wakakimbilia Supereme court kuzuia zoezi hilo. Kuna riport zilishatoka siku nyingi sana zilizofanywa na muunganiko wa vyombo vya habari kugundua kuwa kweli kulikuwa na uchakuaji na taarifa ziko wazi mitandaoni.
(1) Kwa vile ulikuwa hujui kuwa kulikuwa na Katherine Harris kama Secretary of State wa Florida, soma hapa
Katherine Harris - Wikipedia
(2) Kwa vile ulikuwa hujui kuwa kulikuwa na Uchakachuaji, soma hapa; ni article ndefu sana kwani ni ya kichambuzi lakini kuelekea mwishoni ndiko kunakoonyesha uchakachuaji ulivyofanyika kwa kumzuia Judge Lewis kuhesabu kura za overvotes ambazo zilikuwa nyingi za Al Gore, hivyo kumkosesha karibu kura 29,000
2000 United States presidential election recount in Florida - Wikipedia