Hizi kauli za Joe Biden kuelekea uchaguzi wa Novemba zinaashiria kitu gani?

Hizi kauli za Joe Biden kuelekea uchaguzi wa Novemba zinaashiria kitu gani?

Huyo anaitwa Secretary of State, haitwi Secretary of State (of the State of Florida) kama unavyotaka iwe.

Huo ni ujinga kama hujui kuwa uchaguzi wa marekani ni jurisdiction ya state. Kwa mfano tukiongea mambo ya Havard University, halafu mtu akasema President Lawrence Bacow, kweli utasema huo ni uwongo kwa sababu President ni Donald Trump? Jifunze kujua jinsi ya kupokea habari na kama hujui muundo wa utawala wa Marekani basi tulia uwe unajifunza pole pole hapa.

Kufanya kosa moja kwa lengo moja haina maana kuwa ni lazima ufanye kosa lile lile tena kwa lengo jingine. Harris alikuwa ni Vice Chair wa Kampeini ya Bush wakati Jeb ni mdogo mtu. Wakati wa uchaguzi wa Obama muundo wa uongozi wa state ulishabadilika na hata mazingira yalikuwa ni tofauti.

Usibishe vitu ambavyo hata wamarekani wenyewe walishavikubali na kuviacha viende kwani hawawezi kuvibadilisha tena. Huu ubishi wa kijinga huwa unaudhi kweli.
Huwezi ku-dictate fikra zako ndio zi-prevail kwa zile za wenzako. Kwa kuwa hakuna uthibitisho bayana kuwa uchakachuaji uliofanyika hili swala litabaki tu kuwa subject of speculation.

Pia kwenye hili jukwaa watu wenye fikra mbalimbali wanajadiliana na kamwe hawatakuwa na mawazo yanayofanana kiasi kwamba kama mtu unafikia kiwango cha kuchukia kisa hoja yako haijaungwa mkono na wengine utakuwa unajitafutia shida bure kwani huwezi kurusha ngumi humu. So please, take heart.
 
Hizo siyo fikra zangu; ni mambo halisi ambayo wamarekani wote wanayajua leo. Labda kama wewe unayasikia kwa mbali; mimi ninakaa marekani tangu henzi hizo na ninayajua waziwazi ila walishaamua ku-move on. Hizo record za Wikipedia nilizokupa sikuziandika mimi.
 
Joe biden ni mropokaji km yule jamaa aliyehutubia Facebook
kuna kiongozi mropokaji kama yule anayelindwa kwa uzio wa chuma? anapanga watu wa kumpokea kisha anasema amelakiwa na mamia
Ile dawa ya COVID 19 aliyoifuata Kabudi ilinywewa na nani akiwa wapi
 
Nani huyo unamzungumzia?
kuna kiongozi mropokaji kama yule anayelindwa kwa uzio wa chuma? anapanga watu wa kumpokea kisha anasema amelakiwa na mamia
Ile dawa ya COVID 19 aliyoifuata Kabudi ilinywewa na nani akiwa wapi
 
Mimi simfahamu Mkuu ila nimeongelea uropokaji wa biden ni afadhali kuliko wa lissu
kama humfahamu sawa ndiyo maana unashindwa kujua kati ya lisu na yule aliyekimbia CORONA na lisu nani anazungumza facts na nani anaropoka. pole kwa akili ndogo
 
Huyo anaitwa Secretary of State, haitwi Secretary of State (of the State of Florida) kama unavyotaka iwe.

Huo ni ujinga kama hujui kuwa uchaguzi wa marekani ni jurisdiction ya state. Kwa mfano tukiongea mambo ya Havard University, halafu mtu akasema President Lawrence Bacow, kweli utasema huo ni uwongo kwa sababu President ni Donald Trump? Jifunze kujua jinsi ya kupokea habari na kama hujui muundo wa utawala wa Marekani basi tulia uwe unajifunza pole pole hapa.

Kufanya kosa moja kwa lengo moja haina maana kuwa ni lazima ufanye kosa lile lile tena kwa lengo jingine. Harris alikuwa ni Vice Chair wa Kampeini ya Bush wakati Jeb ni mdogo mtu. Wakati wa uchaguzi wa Obama muundo wa uongozi wa state ulishabadilika na hata mazingira yalikuwa ni tofauti.

Usibishe vitu ambavyo hata wamarekani wenyewe walishavikubali na kuviacha viende kwani hawawezi kuvibadilisha tena. Huu ubishi wa kijinga huwa unaudhi kweli.
Mzee umeteleza kubali tu kuwa post yako ili generalise Secretary of state ambae ni wa nchi zima sasa ukisema ni florida tu ilo hukulisema mwanzo
 
Mzee umeteleza kubali tu kuwa post yako ili generalise Secretary of state ambae ni wa nchi zima sasa ukisema ni florida tu ilo hukulisema mwanzo
Ni kwa vile hujui jurisdiction za chaguzi za Marekani ndiyo maana unakuwa confused! Secretary of State wa serikali ya Marekani unayemsema wewe anashughulika na mambo ya nje tu (yaani ni waziri wa mambo ya nje), hashughuliki na mambo ya chaguzi za ndani. Chaguzi zote zinasimamiwa na Secretary of State kwenye kila jimbo.
 
Habari!

Awali ya yote, natumai mu wazima wa afya.

Nimemsikia Joe Biden akisema kuwa ana wasiwasi kwamba rais Donald Trump "atajaribu kufanya wizi" katika uchaguzi ujao wa rais wa mwezi Novemba mwaka huu.

Joe Biden hakuishia hapo tu bali amedai kuwa anaamini Jeshi litalazimika kumuondoa kwa nguvu Trump kutoka White House endapo akigoma baada ya kushindwa uchaguzi wa Novemba.

Kauli hizi zimepokelewa kwa mitazamo tofauti tofauti kwa wale waliopata kumsikiliza Joe Biden.

Kuna wanaodhani ni mzaha tu ama mbinu za kisiasa za Joe Biden za kumtawala mpinzani wake kuelekea katika uchaguzi ujao huku wengine wakizipuuza kauli hizi lakini kuna ambao kauli hizi zimejenga hofu ndani ya mioyo yao.

Mimi naweza kuziita hofu hizo 'hofu tupu' na kuna masuala mengine mengi ya kuhofia na si hiki cha Trump kugoma kuachia ngazi.

Pamoja na hayo, Trump hakukaa kimya.

Trump akizungumza jana katika mahojiano yake na FOX News alidokeza kuwa ataachia ngazi kwa amani endapo atashindwa uchaguzi ujao wa Novemba.

Katika mahojiano hayo Trump alinukuliwa akisema, “Certainly, if I don't win, I don't win.”

Sasa, ni kipi kinachompelekea Joe Biden kuhisi hiki anachokihisi?

Je, hizi si dalili kuwa Joe Biden ameanza kushindwa mapema kumkabili Donald Trump kwa hoja za kuweza kujenga ushawishi wa kupigiwa kura?

Kauli hizi za Joe Biden kuelekea uchaguzi wa Novemba zinaashiria kitu gani?
MKUUU ATANIII KANUSAA
KAMA.ILE.MICHEZO YA NYUMA.IKICHEZWA JB KALIA
SHIDA WATALAM.WAKONAE HAPO YUKORADHI KUMWAGA MZIGO WA MAANA WAFANIKIWE MUULIZE HILLARY C BADO KIDOGO APATE STROKE..
OOOH
 
Lisemwalo lipo, sii unaona sasa Trump anavyohangaika kwa kila namna ili ashinde...

Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom