Unaweza ukathibitisha alivyochakachua. Bush alipata Electoral College Votes 271 dhidi ya Al Gore aliyepata 266, sasa uchakachuaji ulikuwa wapi hapo. Acheni mambo ya vijiwe vya kahawa.
Biden akishindwa anaweza fariki Kwa sadness.
Mazingira ya yeye kushinda ni makubwa mno
Ingawa sio guarantee
Hiyo sio hoja, hata waandishi wana inclinations na vyama. Ktk nchi kama Marekani huwezi kuiba kura halafu eti uwe rais, hayo mambo tuachie sisi Tanzania.We mropokaji uwe unasoma vitu na kuelewa basi,tatizo lako unajionaga wewe ndio una uchungu uchwara wa demokrasia ya US.
Soma hata vitabu basi.View attachment 1477595
Ukikaa kuwasikiliza waropokaji tena Facebook, wewe ni boya tu. Unaacha kujadili hoja unaleta mambo yako ya facebook. Ingekuwa bora uanzishe uzi wako wa facebookJoe biden ni mropokaji km yule jamaa aliyehutubia Facebook
Mawazo yako tu; unajaribu kujenga ukuta kwa matofali ya barafu!Habari!
Awali ya yote, natumai mu wazima wa afya.
Nimemsikia Joe Biden akisema kuwa ana wasiwasi kwamba rais Donald Trump "atajaribu kufanya wizi" katika uchaguzi ujao wa rais wa mwezi Novemba mwaka huu.
Joe Biden hakuishia hapo tu bali amedai kuwa anaamini Jeshi litalazimika kumuondoa kwa nguvu Trump kutoka White House endapo akigoma baada ya kushindwa uchaguzi wa Novemba.
Kauli hizi zimepokelewa kwa mitazamo tofauti tofauti kwa wale waliopata kumsikiliza Joe Biden.
Kuna wanaodhani ni mzaha tu ama mbinu za kisiasa za Joe Biden za kumtawala mpinzani wake kuelekea katika uchaguzi ujao huku wengine wakizipuuza kauli hizi lakini kuna ambao kauli hizi zimejenga hofu ndani ya mioyo yao.
Mimi naweza kuziita hofu hizo 'hofu tupu' na kuna masuala mengine mengi ya kuhofia na si hiki cha Trump kugoma kuachia ngazi.
Pamoja na hayo, Trump hakukaa kimya.
Trump akizungumza jana katika mahojiano yake na FOX News alidokeza kuwa ataachia ngazi kwa amani endapo atashindwa uchaguzi ujao wa Novemba.
Katika mahojiano hayo Trump alinukuliwa akisema, “Certainly, if I don't win, I don't win.”
Sasa, ni kipi kinachompelekea Joe Biden kuhisi hiki anachokihisi?
Je, hizi si dalili kuwa Joe Biden ameanza kushindwa mapema kumkabili Donald Trump kwa hoja za kuweza kujenga ushawishi wa kupigiwa kura?
Kauli hizi za Joe Biden kuelekea uchaguzi wa Novemba zinaashiria kitu gani?
Uchakuaji ulikuwapo Florida; kuna data zilizokwisha thibitishwa baada ya GWBush kuwa rais kuwa mdogo wake Gov Jeb Bush na Secretary of State Katherine Harris (wakati huo) walitumia nafasi zao kuswing balance ya matokeo ya recount kuchakachua kura za Florida yenye watu zaid ya milion 20 kusudi mtu wao GWBush apate ushindi wa kura mia tano tu.Unaweza ukathibitisha alivyochakachua. Bush alipata Electoral College Votes 271 dhidi ya Al Gore aliyepata 266, sasa uchakachuaji ulikuwa wapi hapo. Acheni mambo ya vijiwe vya kahawa.
Secretary of State wakati huo alikuwa Madeleine Albright m-democrat, wewe huyo Katherine Harris alikuwa Secretary of State wa nchi gani.Uchakuaji ulikuwapo Florida; kuna data zilizokwisha thibitishwa baada ya GWBush kuwa rais kuwa mdogo wake Gov Jeb Bush na Secretary of State Katherine Harris (wakati huo) walitumia nafasi zao kuswing balance ya matokeo ya recount kuchakachua kura za Florida yenye watu zaid ya milion 20 kusudi mtu wao GWBush apate ushindi wa kura mia tano tu.
Yeah....kama mama Clinton inavyomuuma hadi leo.Biden akishindwa anaweza fariki Kwa sadness.
Mazingira ya yeye kushinda ni makubwa mno
Ingawa sio guarantee
Usijibu vitu usivyojua; ungefanya jitihada ndogo ku-google jina la Katherine Harris kabla hujaandika pumba hizi. Mgogoro kwenda Supreme Court ni baada ya hao kuwa wamechakachua na Gore alitaka zoezi lifanyika kwa kina kuondoa uchakachuaji, jamaa wakakimbilia Supereme court kuzuia zoezi hilo. Kuna riport zilishatoka siku nyingi sana zilizofanywa na muunganiko wa vyombo vya habari kugundua kuwa kweli kulikuwa na uchakuaji na taarifa ziko wazi mitandaoni.Secretary of State wakati huo alikuwa Madeleine Albright m-democrat, wewe huyo Katherine Harris alikuwa Secretary of State wa nchi gani.
Na Secretary of State wa Democratic Party asingeweza kumfagilia mtu wa Republican Party.
Pia ujue kuwa mgogoro wakati huo ulienda hadi Supreme Court, kama una kumbukumbu, na majaji wengi waliidhinisha ushindi wa Bush.
Kimsingi, uchakachuaji wa kura hua ni laana ya waafrika zaidi na inajiongeza kwenye orodha ya madhaifu mengi waliyonayo na ni swala la utamaduni zaidi kuliko ubinadamu.
Secretary of State (Wa Jimbo) ulitakiwa uwe specific hivyo maanake ukiacha hivyo wengine tunafahamu ni waziri wa mambo ya nje wa Marekani.Usijibu vitu usivyojua; ungefanya jitihada ndogo ku-google jina la Katherine Harris kabla hujaandika pumba hizi. Mgogoro kwenda Supreme Court ni baada ya hao kuwa wamechakachua na Gore alitaka zoezi lifanyika kwa kina kuondoa uchakachuaji, jamaa wakakimbilia Supereme court kuzuia zoezi hilo. Kuna riport zilishatoka siku nyingi sana zilizofanywa na muunganiko wa vyombo vya habari kugundua kuwa kweli kulikuwa na uchakuaji na taarifa ziko wazi mitandaoni.
(1) Kwa vile ulikuwa hujui kuwa kulikuwa na Katherine Harris kama Secretary of State wa Florida, soma hapa
Katherine Harris - Wikipedia
(2) Kwa vile ulikuwa hujui kuwa kulikuwa na Uchakachuaji, soma hapa; ni article ndefu sana kwani ni ya kichambuzi lakini kuelekea mwishoni ndiko kunakoonyesha uchakachuaji ulivyofanyika kwa kumzuia Judge Lewis kuhesabu kura za overvotes ambazo zilikuwa nyingi za Al Gore, hivyo kumkosesha karibu kura 29,000
2000 United States presidential election recount in Florida - Wikipedia
Huyo anaitwa Secretary of State, haitwi Secretary of State (of the State of Florida) kama unavyotaka iwe.Secretary of State (Wa Jimbo) ulitakiwa uwe specific hivyo maanake ukiacha hivyo wengine tunafahamu ni waziri wa mambo ya nje wa Marekani.
Kama walichakachua sasa walishindwa nini kuchakachua wakati wa Obama tena wakiwa mamlakani.
Katika uchaguzi wa 2016 DT Ametuhumiwa kusaidiwa na Russia, Uchunguzi wa Mueller umeibua mambo mengi sana,AG Bill Barr ametumia mbinu nyingi sana kumpendelea waziwazi DT Badala ya kuwa AG wa Nchi, kwa wale waliofuatilia Kitabu cha GODFATHER Wanamkumbuka Consiglieri, Ndio role ambayo Barr amekuwa anafanya, Ushaidi Mwingi wa Mueller report umefichwa na una tuhuma nyingi sana zidi ya DT, Na DT anachunguzwa sehemu nyingi, Kampeni yake washirika wake wengi wamekutwa na makosa na wengine kufungwa, Kabaki yeye, akishindwa uchaguzi kuna uwezekano mkubwa wa kushitakiwa na kwa kuwa sheria za US ni kama msumeno anaweza kufungwa.Habari!
Awali ya yote, natumai mu wazima wa afya.
Nimemsikia Joe Biden akisema kuwa ana wasiwasi kwamba rais Donald Trump "atajaribu kufanya wizi" katika uchaguzi ujao wa rais wa mwezi Novemba mwaka huu.
Joe Biden hakuishia hapo tu bali amedai kuwa anaamini Jeshi litalazimika kumuondoa kwa nguvu Trump kutoka White House endapo akigoma baada ya kushindwa uchaguzi wa Novemba.
Kauli hizi zimepokelewa kwa mitazamo tofauti tofauti kwa wale waliopata kumsikiliza Joe Biden.
Kuna wanaodhani ni mzaha tu ama mbinu za kisiasa za Joe Biden za kumtawala mpinzani wake kuelekea katika uchaguzi ujao huku wengine wakizipuuza kauli hizi lakini kuna ambao kauli hizi zimejenga hofu ndani ya mioyo yao.
Mimi naweza kuziita hofu hizo 'hofu tupu' na kuna masuala mengine mengi ya kuhofia na si hiki cha Trump kugoma kuachia ngazi.
Pamoja na hayo, Trump hakukaa kimya.
Trump akizungumza jana katika mahojiano yake na FOX News alidokeza kuwa ataachia ngazi kwa amani endapo atashindwa uchaguzi ujao wa Novemba.
Katika mahojiano hayo Trump alinukuliwa akisema, “Certainly, if I don't win, I don't win.”
Sasa, ni kipi kinachompelekea Joe Biden kuhisi hiki anachokihisi?
Je, hizi si dalili kuwa Joe Biden ameanza kushindwa mapema kumkabili Donald Trump kwa hoja za kuweza kujenga ushawishi wa kupigiwa kura?
Kauli hizi za Joe Biden kuelekea uchaguzi wa Novemba zinaashiria kitu gani?
Unajua lkn unazidi kumchanganya huyo jamaa anayebisha?Huyo anaitwa Secretary of State, haitwi Secretary of State (of the State of Florida) kama unavyotaka iwe.
Huo ni ujinga kama hujui kuwa uchaguzi wa marekani ni jurisdiction ya state. Kwa mfano tukiongea mambo ya Havard University, halafu mtu akasema President Lawrence Bacow, kweli utasema huo ni uwongo kwa sababu President ni Donald Trump? Jifunze kujua jinsi ya kupokea habari na kama hujui muundo wa utawala wa Marekani basi tulia uwe unajifunza pole pole hapa.
Kufanya kosa moja kwa lengo moja haina maana kuwa ni lazima ufanye kosa lile lile tena kwa lengo jingine. Harris alikuwa ni Vice Chair wa Kampeini ya Bush wakati Jeb ni mdogo mtu. Wakati wa uchaguzi wa Obama muundo wa uongozi wa state ulishabadilika na hata mazingira yalikuwa ni tofauti.
Usibishe vitu ambavyo hata wamarekani wenyewe walishavikubali na kuviacha viende kwani hawawezi kuvibadilisha tena. Huu undishi wa kijinga huwa unaudhi kweli.
Acha uwongo. Hivi kwanini wabongo ukifall in luv na something huwa hatukubali matokeo?George W. Bush vs Al Gole
Bush alichakachua mchana kweupe kiroho safi.