Hizi kazi akiwa nazo mwanaume anaweza kula tunda hadi kusaza bila kuhonga ama kutumia gharama ndogo sana

Walimu wa kwaya,maproducer, wapiga vyombo guitar,piano,n.k
 
Anaweza kula tunda hadi kusaza 🤣🤣🙌
 
Mbona mnaona kama sex ni muhimu sana hivyi wakuu,au adimu sana..??tubadili mitazamo asee dunia inaelekea kubaya,nowdays vijana tunawaza ngono tu 24/7 tutaaminiwa kweli kwenye teuzi kama teuzi,kama akili zetu ndo hizi.??
 
Mawazo ya kipumbavu sana haya. Ukitaka kula papuchi unaweza kutafuna tu wakati wowote kama ndo kipaumbele chako. Vijana tuachane na haya mawazo ya kishetani la sivyo umaskini utaendelea kututesa mno. Hao wote unaowasifu wanakula papuchi kilaini huishia pabaya wakiendekeza.
 
Mbona mnaona kama sex ni muhimu sana hivyi wakuu,au adimu sana..??tubadili mitazamo asee dunia inaelekea kubaya,nowdays vijana tunawaza ngono tu 24/7 tutaaminiwa kweli kwenye teuzi kama teuzi,kama akili zetu ndo hizi.??
Inasikitisha mno ndugu.
 
Kwa wachezaji team nzima inaweza kumla binti mmoja... nimeshuhudia enzi hizo.. hatari sana akiwa na maambukizi lazima mfungwe...🤣
 
Sijui kwanini... ?
Ni ukichaa fulani hivi wasichana nao wanakuwa kama misikule akiguswa kidogo tu kesha panua paja. Ni kuliwa tu then anachwa hapo wengine mpaka leo hawajui watoto wao baba zao ni kina nani.... maana ndani ya mwezi kaliwa na watu wanne. Anabaki kubahatisha sura....inasikitisha.
 
Hapo umewasahau hawa gym trainers wanawakula mnooo
 
-vinyozi
-watu wa Microfinance
-Gym trainers
-Wauza iphone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…