Hizi kazi akiwa nazo mwanaume anaweza kula tunda hadi kusaza bila kuhonga ama kutumia gharama ndogo sana

Walimu wa kwaya,maproducer, wapiga vyombo guitar,piano,n.k
 
wanaokula bila kuhonga

Wachungaji, maustadh na waganga - Hasa kwa wadada wanaotafuta watoto kwa maustadh, wachungaji na waganga feki. Mdada anaambiwa dawa inabidi iingie kwa kuchomekwa, kuna pepo lipo ndani inabidi litolewe kwa **oo yenye upako, n.k. 😂 😂 Wanawake wengi sana wanatoa kwa hii trick. Mwanamke akilete ujuaji anapigwa mkwara atatupiwa jini ama pepo litamsumbua, anaachia mzigo.

Walimu wa vyuoni - Na hapa ni pisi ndogo ndogo zile 16 hadi 22, Malecturer wanafaidi nyie!! Halafu usichojua ni kwamba pisi nyingi kali huwaga hazina akili za darasani basi hapa lecturer anateleza triiii mpaka maka, Lecturer wengine nao wanafelisha maksudi ili binti aanze kujileta mwenyewe, na pia wapo mabinti ambao wanawashobokea malecturer maana ni kazi yenye heshima hapo chuoni, vibinti vikishapata namba ya simu lazima vinaanza kupitia status zako kila siku, na baadae vitaanza kureply status, kinachofata ni lecturer kuamua tu.

Wapaka rangi - unakuta bidada kajiachia kabisa mapaja wazi, kanogewa na masaji ya mguu, ny*ge zimempanda si kitoto, binti anaomba mkayamalize faraghani

B. Wanaokula kwa uhakika ila kuna kuhonga kidogo
Bodaboda + wakaanga chipsi - usizichukulie poa lift za kumchukua mwanmke kutoka nyumbani kwenda ofisini,sokoni,bucha,chuoni, n.k. zinalewesha mno! ila kuna kuwajibika sasa.

Wasanii + wanamichezo - wasanii hususan wa bongo fleva na wale wanaofahamika bongo muvi mara nyingi hata hawatumii nguvu kubwa kwasababu tayari majina yao yanajisemea, tukija kwa wacheza mpira timu za bongo nao hawapo nyuma, sema tu utofauti wao na wasanii ni kwamba wao wanapenda kutembea na mabinti wasio na umaarufu, kwa wasanii wanapenda kutembea na mabinti wenye umaarufu flani ivi.
Anaweza kula tunda hadi kusaza 🤣🤣🙌
 
Mbona mnaona kama sex ni muhimu sana hivyi wakuu,au adimu sana..??tubadili mitazamo asee dunia inaelekea kubaya,nowdays vijana tunawaza ngono tu 24/7 tutaaminiwa kweli kwenye teuzi kama teuzi,kama akili zetu ndo hizi.??
 
Mawazo ya kipumbavu sana haya. Ukitaka kula papuchi unaweza kutafuna tu wakati wowote kama ndo kipaumbele chako. Vijana tuachane na haya mawazo ya kishetani la sivyo umaskini utaendelea kututesa mno. Hao wote unaowasifu wanakula papuchi kilaini huishia pabaya wakiendekeza.
 
Mbona mnaona kama sex ni muhimu sana hivyi wakuu,au adimu sana..??tubadili mitazamo asee dunia inaelekea kubaya,nowdays vijana tunawaza ngono tu 24/7 tutaaminiwa kweli kwenye teuzi kama teuzi,kama akili zetu ndo hizi.??
Inasikitisha mno ndugu.
 
wanaokula bila kuhonga

Wachungaji, maustadh na waganga - Hasa kwa wadada wanaotafuta watoto kwa maustadh, wachungaji na waganga feki. Mdada anaambiwa dawa inabidi iingie kwa kuchomekwa, kuna pepo lipo ndani inabidi litolewe kwa **oo yenye upako, n.k. 😂 😂 Wanawake wengi sana wanatoa kwa hii trick. Mwanamke akilete ujuaji anapigwa mkwara atatupiwa jini ama pepo litamsumbua, anaachia mzigo.

Walimu wa vyuoni - Na hapa ni pisi ndogo ndogo zile 16 hadi 22, Malecturer wanafaidi nyie!! Halafu usichojua ni kwamba pisi nyingi kali huwaga hazina akili za darasani basi hapa lecturer anateleza triiii mpaka maka, Lecturer wengine nao wanafelisha maksudi ili binti aanze kujileta mwenyewe, na pia wapo mabinti ambao wanawashobokea malecturer maana ni kazi yenye heshima hapo chuoni, vibinti vikishapata namba ya simu lazima vinaanza kupitia status zako kila siku, na baadae vitaanza kureply status, kinachofata ni lecturer kuamua tu.

Wapaka rangi - unakuta bidada kajiachia kabisa mapaja wazi, kanogewa na masaji ya mguu, ny*ge zimempanda si kitoto, binti anaomba mkayamalize faraghani

B. Wanaokula kwa uhakika ila kuna kuhonga kidogo
Bodaboda + wakaanga chipsi - usizichukulie poa lift za kumchukua mwanmke kutoka nyumbani kwenda ofisini,sokoni,bucha,chuoni, n.k. zinalewesha mno! ila kuna kuwajibika sasa.

Wasanii + wanamichezo - wasanii hususan wa bongo fleva na wale wanaofahamika bongo muvi mara nyingi hata hawatumii nguvu kubwa kwasababu tayari majina yao yanajisemea, tukija kwa wacheza mpira timu za bongo nao hawapo nyuma, sema tu utofauti wao na wasanii ni kwamba wao wanapenda kutembea na mabinti wasio na umaarufu, kwa wasanii wanapenda kutembea na mabinti wenye umaarufu flani ivi.
Kwa wachezaji team nzima inaweza kumla binti mmoja... nimeshuhudia enzi hizo.. hatari sana akiwa na maambukizi lazima mfungwe...🤣
 
Sijui kwanini... ?
Ni ukichaa fulani hivi wasichana nao wanakuwa kama misikule akiguswa kidogo tu kesha panua paja. Ni kuliwa tu then anachwa hapo wengine mpaka leo hawajui watoto wao baba zao ni kina nani.... maana ndani ya mwezi kaliwa na watu wanne. Anabaki kubahatisha sura....inasikitisha.
 
Hapo umewasahau hawa gym trainers wanawakula mnooo
 
-vinyozi
-watu wa Microfinance
-Gym trainers
-Wauza iphone
 
Back
Top Bottom