kataip
Senior Member
- Aug 21, 2013
- 145
- 80
Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja kwenye mada,
Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita. Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!! Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako mke alale ulale???????????
Ukimpa wampa kwa masharti ati kamoja tena kwa mbinde na unawaza kuwa na wake wengi??????????????
Nani anakusaidia ?????????????
Kazi ya kusifia figure tu kitandani wavivu. Mchfuyuuuuuu Ebu malizeni kesi za majumbani kwenu afu ndiyo mtoke, acheni uvivu, viepe na mavyakula ya kusindika na mazoezi yawepo.
Tushachoka na makesi yenu.
Kataip akiwa kijijini.