Hizi kesi za wanaume wa leo ni AIBU sana na hatari kwa jamii na fedhea katika ndoa

Hizi kesi za wanaume wa leo ni AIBU sana na hatari kwa jamii na fedhea katika ndoa

kataip

Senior Member
Joined
Aug 21, 2013
Posts
145
Reaction score
80
Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja kwenye mada
Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita.
Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!!
Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako mke alale ulale???????????
Ukimpa wampa kwa masharti ati kamoja tena kwa mbinde na unawaza kuwa na wake wengi??????????????
Nani anakusaidia ?????????????
Kazi ya kusifia figure tu kitandani wavivu. Mchfuyuuuuuu
Ebu malizeni kesi za majumbani kwenu afu ndiyo mtoke, acheni uvivu, viepe na mavyakula ya kusindika na mazoezi yawepo.
Tushachoka na makesi yenu.

Kataip akiwa kijijini.
 
Why uvizie alale? Hivi kupiga machine nayo ni dili? Mbona ni issue simple sanaaaa!!!🙄🙄……..
I real pray nizeeke hivi nilivo!
 
Huyo mke amemwambia mumewe kuwa haridhishwi na yanayoendelea au anakufa na tai yake shingoni?
 
Nawasalimu kwa majukumu ya kila siku.
Moja kwa moja kwenye mada
Umechagua ulompenda zaidi, Umetoa mahari, umeoa tumeshiriki kwa namna mbali mbali miaka kadhaa imepita.
Mwanaume unahudhuru!!!!!!!!!!
Siku zinapita umpi mama yoyo nanihii atiii nimechoka mara kazi nyingi unavizia kitandani kwako mke alale ulale???????????
Ukimpa wampa kwa masharti ati kamoja tena kwa mbinde na unawaza kuwa na wake wengi??????????????
Nani anakusaidia ?????????????
Kazi ya kusifia figure tu kitandani wavivu. Mchfuyuuuuuu
Ebu malizeni kesi za majumbani kwenu afu ndiyo mtoke, acheni uvivu, viepe na mavyakula ya kusindika na mazoezi yawepo.
Tushachoka na makesi yenu.

Kataip akiwa kijijini.
Yote ya nini haya huyo mama mdogo na vijana tupo!! Haya tiririka PM tujue tunafanyaje tumsitiri mzee mwenzetu.. Ujue Habari kama hizi kila siku kwa ndugu haipendezi au mpka waachane. [emoji847][emoji847] Tumlindie heshima yake Kwa namna hii [emoji39][emoji39][emoji39]

Sent from my VTR-L29 using JamiiForums mobile app
 
Acha mbwembwe[emoji28]
JamiiForums1908469374.jpg
 
Back
Top Bottom