Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

Mhaya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2023
Posts
1,831
Reaction score
5,489
Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika.

Halafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa kike au hata mama yako maana hawana nao wanachepuka na kufanya ufusika...

Unakuta unashadadia ufusika kumbe maskini ni ndugu yako ndio kapigwa hilo tukio....
 
Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika.

Alafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa kike au hata mama yako maana hawana nao wanachepuka na kufanya ufusika...

Tena zinachefua zimekuwa zakitoto mno
 
Bado hujasemaa
 
Ahsante kwa ushauri ila ningependa niongezee kusema

Ngono ndio ilimleta hata mtoa mada bila ngono mtoa mada asingeposti huu upumbavu

ila mtoa maana ameniongezea msamiati mpya "ni mwendo wa ufusika tu"
 
Back
Top Bottom