Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
Hata wasipo sapoti ukweli utabaki pale pale kwamba hao ndugu zetu wakike wanapelekewa moto kama kawaida😂😂😂 ninachokizungumzia hapa ni watu kusapoti mada za kifusika, utafikiri wao hawana ndugu wa kike