Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

Hizi mada za mahusiano mitandaoni tuwe na Tahadhari nazo

Mimi sioni tatzo hata awe dada yangu au nani yangu hizo sio shida zangu nasema wanaume tuendelee kupeleka moto hata kama ukijifanya ujui ila ukweli ni kuwa dada yako ni dem wa mtu na anapelekewa moto kama wewe unavyopelekea moto dada za watu
 
Unakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika.

Alafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa kike au hata mama yako maana hawana nao wanachepuka na kufanya ufusika...

Unakuta unashadadia ufusika kumbe maskini ni ndugu yako ndio kapigwa hilo tukio....
Kwani kama ni ndugu yako au yangu akichakatwa kuna ubaya gani mkuu?
 
Mimi sioni tatzo hata awe dada yangu au nani yangu hizo sio shida zangu nasema wanaume tuendelee kupeleka moto hata kama ukijifanya ujui ila ukweli ni kuwa dada yako ni dem wa mtu na anapelekewa moto kama wewe unavyopelekea moto dada za watu
😂😂😂 ninachokizungumzia hapa ni watu kusapoti mada za kifusika, utafikiri wao hawana ndugu wa kike
 
Ubaya ni wewe kusapoti ujinga wa dada yako kupelekewa moto
😁😁😁 Acha wivu mkuu mwaka juzi nilitoka mwanza kwenye harusi ya mdgo wangu tunae fuatana , sikuona cha zaidi pale zaidi ya kumsindikiza kwa vilegegele kwenda kuchakatwa vizuri😁😁
 
😁😁😁 Acha wivu mkuu mwaka juzi nilitoka mwanza kwenye harusi ya mdgo wangu tunae fuatana , sikuona cha zaidi pale zaidi ya kumsindikiza kwa vilegegele kwenda kuchakatwa vizuri😁😁
😂😂😂 au sio... Mimi mwenyewe uende ndio shemeji yako maana niko mwanza na nimeoa mwaka juzi
 
Siku hizi tukikutana na kina kaka tunaangalia mikono yenu kama imepinda au imenyooka
Nyinyi ndio mmeleta hizo shida zote nyinyi pussy mmepewa bure kwanini mnataka mjinufaishe kupitia kiungo ambacho amlipii kodi
 
Back
Top Bottom