Unakuta unashadadia ufusika kumbe maskini ni ndugu yako ndio kapigwa hilo tukio....
dronedrake njoo tumsajili huyu kijana hukuMimi ni member wa CHAPUTA, nina kadi rasmi ya uanachama
Tena zinachefua zimekuwa zakitoto mnoUnakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika.
Alafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa kike au hata mama yako maana hawana nao wanachepuka na kufanya ufusika...
Unakuta unashadadia ufusika kumbe maskini ni ndugu yako ndio kapigwa hilo tukio....
Na wewe mama yako ndio mchakato mwenyeweNa ndugu yako wa kike ndio mchakato wenyewe 😂 hivyo tuwe na tahadhari
Bado hujasemaaUnakuta humu Jamiiforums anakuja mtu na mada yake ya Mbususu, ngono, alimla Demu gani, na mambo kama hayo ya ufusika.
Alafu watu wanakuja na kuanza kusapoti huo ufusika... Sasa mimi najiuliza, Je kama huyo mwanamke au Demu anayezungumziwa humo ni Dada yako, mtoto wako wa kike, ndugu yako wa kike au hata mama yako maana hawana nao wanachepuka na kufanya ufusika...
Unakuta unashadadia ufusika kumbe maskini ni ndugu yako ndio kapigwa hilo tukio....
Ulikujaje dunianiMimi sina sasa
Na wewe umo kwenye kundi?dronedrake njoo tumsajili huyu kijana huku