Hizi message za Kizimkazi vipi tena, mbona kama kero sasa?

Hizi message za Kizimkazi vipi tena, mbona kama kero sasa?

Teslarati

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2019
Posts
2,621
Reaction score
10,466
Wiki hii zinaingia tu kila siku

Angalie wenyewe
Screenshot_20240814-124153~2.png
 
Upumbavu na kuharibu hela
Tamasha halijawahi kuwa hitaji la mwananchi

Kwa Nini wasihamasishe kujiandikisha
Kwenye daftari la kura
Washajuwa hawa,mtanzania we muweke tamasha aka festivooo
😄 tu

Ova
 
Back
Top Bottom