Hizi message za Kizimkazi vipi tena, mbona kama kero sasa?

Hizi message za Kizimkazi vipi tena, mbona kama kero sasa?

Ni kwli zimekuwa kero
Hii mitandao imekuwa kero nadhani uchawa unawasumbua
 
Kweli Bongo pagumu, watu mnanunuwa bundle la Jero?
Nimenunua salio la jero ili niingie menu ya sim Banking. And yes sometimes nanunua bundle la jero huo ndio uwezo wangu
Screenshot_20240814-160452.png
 
Nimeipokea hiyo msg mara mbili.
Natamani ningekuwa na hela kwenda Kizimkazi.
 
Back
Top Bottom