Hizi ndio bei za mbolea ambazo wakulima watanunulia kuanzia Agosti 15, 2022 baada ya bilioni 150

Hizi ndio bei za mbolea ambazo wakulima watanunulia kuanzia Agosti 15, 2022 baada ya bilioni 150

Tena unapewa kwa lazima, ukikataa jela inakuhusu!
unanikumbusha mbali wakati wa Kilimo cha kufa na kupona. Aisee hii nchi imepitia vitendawili vingi mno. Unapewa shamba bure, Panga na shoka bure, mbolea bure na Bwana Shamba upo naye hapo na pikipiki yake... yaani lazima utalima tu hata kwa lazima.
 
Mh Rais wetu anaupiga mwingi Sanaa, Hakika anaipenda nchi hii na kuwajari wananchi anaowaongoza, amekonga nyoyo za wakulima, Amegusa maisha yao, Amewapa fulaha na matumaini makubwa Sana, Ni shujaa wa watanzania, Ni shujaa wa wakulima, Ni shujaa wa watanzania wazalendo, Ni shujaa wa uchumi shirikishi,
Rais Samia amefanya jambo la kihistoria kwenye sekta ya kilimo kununua mbolea nusu bei sio jambo dogo
 
Na bei za mazao je?
Waziri wa kilimo amesema bei ya mazao itapangwa lakini haitakua ya kumkandamiza mkulima maana hii campaign ya kilimo ni biashara ni kwaajili ya kuwainua wakulima na sio kuwadidimiza kama ilivyokua awali ata ukiangalia zao la pamba bei imepanda pia zao la korosho nk.
 
Aliyepandisha bei nani? Nipandishe mimi nishushe mwenyewe
Ndo kuupiga mwingi?
Bei hazijapandishwa na mh Rais bali ni huko zitokako ambako uzalishaji ulipungua, ndio maana mh Rais ameweka juhudi kuvuta wawekezaji katika mbolea ili viwanda vijengwe hapa nchini petu.

Hali itatengemaa tu mkuu na katika kipindi hiki cha mpito serikali imeamua iweke ruzuku katika mbolea
 
Wauzaji sasa watakwambia walichukua mzigo kabla ya ruzuku,wengine wakwambia Wana mzigo store tangu msimu uliopita ambao walichukua Kwa bei juu iliyopangwa na serikali hiyo hiyo.sijui itakuweje hapo.
 
Hapana siyo maneno, wewe jiandae tu mkuu kufaidika na juhudi za mh Rais kutukwamua wananchi wake
Bei zilipanda kwasababu ya huyo huyo bashe na aliambiwa, sasa anajaribu kutatua tatizo ambalo kwa kiasi kikubwa kalisababisha mwenyewe sawa na majaliwa na sukari
 
Wauzaji sasa watakwambia walichukua mzigo kabla ya ruzuku,wengine wakwambia Wana mzigo store tangu msimu uliopita ambao walichukua Kwa bei juu iliyopangwa na serikali hiyo hiyo.sijui itakuweje hapo.
Sasa mkuu si kazi ya ruzuku kufidia hilo gape
 
Bei hazijapandishwa na mh Rais Bali Ni huko zitokako ambako uzalishaji ulipungua, Ndio maana mh Rais ameweka juhudi kuvuta wawekezaji katika mbolea ili viwanda vijengwe hapa nchini petu,

Hali itatengemaa tu mkuu na katika kipindi hiki Cha mpito Serikali imeamua iweke Ruzuku katika Mbolea
Umemuelewesha vizuri sana pia Rais Samia Suluhu lengo lake ni kukifanya kilimo kiwe biashara na kuonda ile zana ya kilimo ni umasikini ndio maana

amewekeza katika kilimo cha umwagiliaji ili wakulima walime mda wote sio mpaka kusubiri msimu
 
Hayo ni maandishi tu.
Subiria Huko Site ndio Kasheshe Nani Atalifuatilia Hilo?
Tulia mpaka tar 15 uende kununua alafu ukose uje kusema ivo lakini chini ya Rais Samia Suluhu kila kitu kilichoahidiwa lazima kitimie
Rais Samia kapunguza gharama za kulima ili tupate mazao mengi zaidi ya biashara
 
Back
Top Bottom