Wakati anaingia madarakani ilikuwa 50k Urea na CAN ilikuwa 40-45 unamshukuru kwa lipi.Kama. Kweli itakuwa hvyo mm namshukrua sna rais samaia kwa hili na mungu ambariki sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Embu watanzania tujifunze kushukuru Rais Samia amepambana sana kurahisisha kilimombolea ingekuwa elfu 30 tu
unanikumbusha mbali wakati wa Kilimo cha kufa na kupona. Aisee hii nchi imepitia vitendawili vingi mno. Unapewa shamba bure, Panga na shoka bure, mbolea bure na Bwana Shamba upo naye hapo na pikipiki yake... yaani lazima utalima tu hata kwa lazima.Tena unapewa kwa lazima, ukikataa jela inakuhusu!
Rais Samia amefanya jambo la kihistoria kwenye sekta ya kilimo kununua mbolea nusu bei sio jambo dogoMh Rais wetu anaupiga mwingi Sanaa, Hakika anaipenda nchi hii na kuwajari wananchi anaowaongoza, amekonga nyoyo za wakulima, Amegusa maisha yao, Amewapa fulaha na matumaini makubwa Sana, Ni shujaa wa watanzania, Ni shujaa wa wakulima, Ni shujaa wa watanzania wazalendo, Ni shujaa wa uchumi shirikishi,
Nani aliipandisha bei hiyo mboleaBashe kaitendea haki ruzuku tofauti na yule naniliu wa kwenye Wese!
Waziri wa kilimo amesema bei ya mazao itapangwa lakini haitakua ya kumkandamiza mkulima maana hii campaign ya kilimo ni biashara ni kwaajili ya kuwainua wakulima na sio kuwadidimiza kama ilivyokua awali ata ukiangalia zao la pamba bei imepanda pia zao la korosho nk.Na bei za mazao je?
Yanaweza kweli kubaki kuwa maneno dukani ikawa tofautiHayo ni maandishi tu.
Subiria Huko Site ndio Kasheshe Nani Atalifuatilia Hilo?
Jambo jema sana serikali ya Rais Samia imeamua kukipa kilimo heshima yakeNi jambo jema
Bei hazijapandishwa na mh Rais bali ni huko zitokako ambako uzalishaji ulipungua, ndio maana mh Rais ameweka juhudi kuvuta wawekezaji katika mbolea ili viwanda vijengwe hapa nchini petu.Aliyepandisha bei nani? Nipandishe mimi nishushe mwenyewe
Ndo kuupiga mwingi?
Hapana siyo maneno, wewe jiandae tu mkuu kufaidika na juhudi za Mh. Rais kutukwamua wananchi wakeYanaweza kweli kubaki kuwa maneno dukani ikawa tofauti
Ndio ishakua ivo Rais Samia Suluhu hajawai kudanganya yeye anafanya kazi kwa vitendo tar 15 nenda kanunue mbolea kwa bei elekeziKama. Kweli itakuwa hvyo mm namshukrua sna rais samaia kwa hili na mungu ambariki sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Rais Samia amefanya jambo la kihistoria kwenye sekta ya kilimo kununua mbolea nusu bei sio jambo dogo
Bei zilipanda kwasababu ya huyo huyo bashe na aliambiwa, sasa anajaribu kutatua tatizo ambalo kwa kiasi kikubwa kalisababisha mwenyewe sawa na majaliwa na sukariHapana siyo maneno, wewe jiandae tu mkuu kufaidika na juhudi za mh Rais kutukwamua wananchi wake
Sasa mkuu si kazi ya ruzuku kufidia hilo gapeWauzaji sasa watakwambia walichukua mzigo kabla ya ruzuku,wengine wakwambia Wana mzigo store tangu msimu uliopita ambao walichukua Kwa bei juu iliyopangwa na serikali hiyo hiyo.sijui itakuweje hapo.
Umemuelewesha vizuri sana pia Rais Samia Suluhu lengo lake ni kukifanya kilimo kiwe biashara na kuonda ile zana ya kilimo ni umasikini ndio maanaBei hazijapandishwa na mh Rais Bali Ni huko zitokako ambako uzalishaji ulipungua, Ndio maana mh Rais ameweka juhudi kuvuta wawekezaji katika mbolea ili viwanda vijengwe hapa nchini petu,
Hali itatengemaa tu mkuu na katika kipindi hiki Cha mpito Serikali imeamua iweke Ruzuku katika Mbolea
Haswaa anaitaji pongezi maana before tulikua tuona kama kilimo hakina dealNi Jambo kubwa na anahitaji pongezi
Chini ya Rais Samia Suluhu kila jambo linaloipa Tanzania maendeleo lazima lifanikiweBashe kaitendea haki ruzuku tofauti na yule naniliu wa kwenye Wese!
kupambana sio tatizo wote tunaunga mkono ila je nani alifikisha bei ya mbolea huko kwenye laki na ushehe?Embu watanzania tujifunze kushukulu Rais Samia amepambana sana kurahisisha kilimo
Tulia mpaka tar 15 uende kununua alafu ukose uje kusema ivo lakini chini ya Rais Samia Suluhu kila kitu kilichoahidiwa lazima kitimieHayo ni maandishi tu.
Subiria Huko Site ndio Kasheshe Nani Atalifuatilia Hilo?