Hizi ndio Jamii tajiri zaidi Tanzania?

Hizi ndio Jamii tajiri zaidi Tanzania?

Kwa jamii za kibantu sioni jamii yoyote ikisogelea hata theluthi kwa wachaga,😂 Wachaga Mabasi ya mikoani wamejaa sana, Usafiri wa ndege wapo, 5 star hotels, real estate, Kampuni nyingi za utalii wapo mtalii moja tu akija analipia hadi milioni 30, na hata hapo Kariakoo utawakuta kina Don Primo Mushi wana majengo kibao tu. Ukimalizana na hapo wachaga Elimu ipo sana tu, wamejaa mno TRA, BOT, n.k. huko ndiko moyo wa fedha ulipo
Nimeshangaa sana, hawajui vizuri wachaga
 
Ninachokiona ni kwamba, watanzania weusi wanazidi kupoteza nafasi kwenye hiyo orodha. Sawa walikuwa karibu na taasisi za kikoloni wakanufaika, ila hawana tamaduni bora za urithishaji.

Wahindi wanajitahidi sana, wanakuwa na katiba za kifamilia, pia wanafundisha vijana wao kuwa mali ni utambulisho, sio umiliki peke yake.
Kijana wa kihindi anachukulia urithi kama zawadi ya dhati kutoka kwenye familia yake na sio mgodi wa pesa tu.
 
Mm iwe mchaga ama mkinga ila tu awe mtz og napenda sana wakifanikiwa hawa weupe shenz zao wanatudharau sana sisi watu weusi na biashara zao nyingi ni kukwepa kodi na janja janja kibao.
Ukiongelea suala ukwepaji kodi usimwondoe Mchagga kwenye list.

Kwa matajiri wazawa wanaolipa kodi bila janja janja ni wakinga na wasukuma.

Halafu kwenye list yako ya matajiri why hujamuweka Mbena? hawa watu msiwachukulie poa, sema ni kwavile hawanaga show off ila ni matajiri haswaa. Wamejikita kwenye kilimo na ndo ma giant kwenye production za nafaka, matunda na mazao ya miti.
 
Wabena bado sana ila sifa ndio zimewajaa kutwa kujiunganisha undugu na wakinga
 
mimi mchaga wa Kibosho nisijue wachaga, najua makampuni zaidi ya 400 yanayomilikiwa na wachaga
Basi rudi kafanye tafiti tena kuwahusu, hao watu ni wahindi na waarabu tu ndio wanazidi tanzania hii, hakuna mzaramo,mkinga,mjaluo wala msukuma anayewazidi kifedha
 
Wabena bado sana ila sifa ndio zimewajaa kutwa kujiunganisha undugu na wakinga
Siyo kweli mkuu hawa jamaa wapo cool sana na very strictly kwenye mipango yao. So far ndo wanakimbiza kwa kilimo cha mahindi na hata maharage at large scale. Mbena haoni tabu kumenya dozen 3 za trekta piru kabisa na baada ya misimu miwili ana despose na kuagiza nyingine.
Hawa ndo unasiaga ilee kasahau alipopark cruser lake pindi anakagua shamba lake then anaitelekeza huko huko mpaka msimu wa mavuno!
Wenzako ni kawaida sana kumiliki hekta 400 za zao la mahindi.
Mbena anavyo jivunia kabila lake sio rahisi kujinasibisha kwa mkinga.
 
Wewe hao huwajui au labda mbena, mimi nimekaa nao njombe mjini,makambako na morogoro sioni maajabu yao hao ni kama wahehe tu si chochote mbele ya mkinga, wanajifungamanisha sana na wakinga sema wewe hujui tu
 
Kuna watu badala ya kuhangaika na mafanikio yao binafsi wanakaa kusifia kabila, mara wanyakyusa hivi wachaga vile..ukimuuliza wewe una nini anabaki anatoa macho!
 
Kuna watu badala ya kuhangaika na mafanikio yao binafsi wanakaa kusifia kabila, mara wanyakyusa hivi wachaga vile..ukimuuliza wewe una nini anabaki anatoa macho!
Hao wachaga munaowasifia humu mali zao walizipata kwa dhulma sana na kubebana huko TRA,BOt nk ila polepole wanaanza kupotea na hawa ndio walilalamika sana kuwa magufuli anawajaza wasukuma kumbe hawajui kuwa wasukuma ni wengi mno kila mahala....hao wachaga munaowasifia eti wana akili sana mbona tushakuwa nao kwenye biashara na hawakuwa na maajabu yeyote yale
 
Wewe hao huwajui au labda mbena, mimi nimekaa nao njombe mjini,makambako na morogoro sioni maajabu yao hao ni kama wahehe tu si chochote mbele ya mkinga, wanajifungamanisha sana na wakinga sema wewe hujui tu
Mkuu huko Njombe ardhi ni ndogo sana. Ebu jitahidi ktk harakati zako fika pale Kibaigwa mpaka Kiteto Manyara ukajionee wakulima wa mahindi na maharage.
Huko utakutana na Wabena wakulima wakubwa halafu utarudi hapa kutoa ushuhuda wa kile ulichojionea.
 
Acha utani na Wachagga wewe 😂😂
Ukitoa raia wa kigeni hamna kabila Tz linasogea kwa wachagga
 
Back
Top Bottom