tunduma001
JF-Expert Member
- Jun 7, 2021
- 795
- 1,267
Nimeshangaa sana, hawajui vizuri wachagaKwa jamii za kibantu sioni jamii yoyote ikisogelea hata theluthi kwa wachaga,π Wachaga Mabasi ya mikoani wamejaa sana, Usafiri wa ndege wapo, 5 star hotels, real estate, Kampuni nyingi za utalii wapo mtalii moja tu akija analipia hadi milioni 30, na hata hapo Kariakoo utawakuta kina Don Primo Mushi wana majengo kibao tu. Ukimalizana na hapo wachaga Elimu ipo sana tu, wamejaa mno TRA, BOT, n.k. huko ndiko moyo wa fedha ulipo
mimi mchaga wa Kibosho nisijue wachaga, najua makampuni zaidi ya 400 yanayomilikiwa na wachagaNimeshangaa sana, hawajui vizuri wachaga
Wewe lazima utakuwa MGOGOUJINGA MTUPU UKABILA NDYO UMEJAA VICHWANI
Jikite kwenye mada weweeeKARIBU KATORO, MKOA WA GEITA!
Mnacomment namatuhiSisi watu kutoka Mpitimbi tuna comment wapi?
Ukiongelea suala ukwepaji kodi usimwondoe Mchagga kwenye list.Mm iwe mchaga ama mkinga ila tu awe mtz og napenda sana wakifanikiwa hawa weupe shenz zao wanatudharau sana sisi watu weusi na biashara zao nyingi ni kukwepa kodi na janja janja kibao.
Wabena bado sana ila sifa ndio zimewajaa kutwa kujiunganisha undugu na wakingaUkiongelea suala ukwepaji kodi usimwondoe Mchagga kwenye list.
Kwa matajiri wazawa wanaolipa kodi bila janja janja ni wakinga na wasukuma.
Halafu kwenye list yako ya matajiri why hujamuweka Mbena? hawa watu msiwachukulie poa, sema ni kwavile hawanaga show off ila ni matajiri haswaa. Wamejikita kwenye kilimo na ndo ma giant kwenye production za nafaka, matunda na mazao ya miti.
Basi rudi kafanye tafiti tena kuwahusu, hao watu ni wahindi na waarabu tu ndio wanazidi tanzania hii, hakuna mzaramo,mkinga,mjaluo wala msukuma anayewazidi kifedhamimi mchaga wa Kibosho nisijue wachaga, najua makampuni zaidi ya 400 yanayomilikiwa na wachaga
Hawa ndio matajiri unaowafahamu Mwanza?Hao wasukuma mbona wamekimbia Mwanza ambao ndio mji wao mkuu,,
Mwanza
1 Zongii (mjaruo)
2 Mansoor (mwarabu)
3 Gachuma (mkurya)
Siyo kweli mkuu hawa jamaa wapo cool sana na very strictly kwenye mipango yao. So far ndo wanakimbiza kwa kilimo cha mahindi na hata maharage at large scale. Mbena haoni tabu kumenya dozen 3 za trekta piru kabisa na baada ya misimu miwili ana despose na kuagiza nyingine.Wabena bado sana ila sifa ndio zimewajaa kutwa kujiunganisha undugu na wakinga
Wewe hao huwajui au labda mbena, mimi nimekaa nao njombe mjini,makambako na morogoro sioni maajabu yao hao ni kama wahehe tu si chochote mbele ya mkinga, wanajifungamanisha sana na wakinga sema wewe hujui tuSiyo kweli mkuu hawa jamaa wapo cool sana na very strictly kwenye mipango yao. So far ndo wanakimbiza kwa kilimo cha mahindi na hata maharage at large scale. Mbena haoni tabu kumenya dozen 3 za trekta piru kabisa na baada ya misimu miwili ana despose na kuagiza nyingine.
Hawa ndo unasiaga ilee kasahau alipopark cruser lake pindi anakagua shamba lake then anaitelekeza huko huko mpaka msimu wa mavuno!
Wenzako ni kawaida sana kumiliki hekta 400 za zao la mahindi.
Mbena anavyo jivunia kabila lake sio rahisi kujinasibisha kwa mkinga.
Hao wachaga munaowasifia humu mali zao walizipata kwa dhulma sana na kubebana huko TRA,BOt nk ila polepole wanaanza kupotea na hawa ndio walilalamika sana kuwa magufuli anawajaza wasukuma kumbe hawajui kuwa wasukuma ni wengi mno kila mahala....hao wachaga munaowasifia eti wana akili sana mbona tushakuwa nao kwenye biashara na hawakuwa na maajabu yeyote yaleKuna watu badala ya kuhangaika na mafanikio yao binafsi wanakaa kusifia kabila, mara wanyakyusa hivi wachaga vile..ukimuuliza wewe una nini anabaki anatoa macho!
Mkuu huko Njombe ardhi ni ndogo sana. Ebu jitahidi ktk harakati zako fika pale Kibaigwa mpaka Kiteto Manyara ukajionee wakulima wa mahindi na maharage.Wewe hao huwajui au labda mbena, mimi nimekaa nao njombe mjini,makambako na morogoro sioni maajabu yao hao ni kama wahehe tu si chochote mbele ya mkinga, wanajifungamanisha sana na wakinga sema wewe hujui tu
Na utajiri wao umejifichia hapo tuWasukuma wafungaji