Hizi ndio Jamii tajiri zaidi Tanzania?

Ssheey! Huu uzi bila Wamaasai ni batili.
 
Acha bangi.

Hakuna kabila linalosogea kwa Wachaga hapa Tanzania kwenye Habari za pesa.

Uje na facts
Wewe mtu akionyesha Duka kariakoo au gari mnaanza kumuita tajiri.
Wachaga ni matajiri sana sema tu wabongo wanapenda kujisaulisha

Hakuna mkoa usio na mchaga tajiri

Hata kanisani huku katoliki wachaga ndo wanaotubeba
 
Mkuu huko Njombe ardhi ni ndogo sana. Ebu jitahidi ktk harakati zako fika pale Kibaigwa mpaka Kiteto Manyara ukajionee wakulima wa mahindi na maharage.
Huko utakutana na Wabena wakulima wakubwa halafu utarudi hapa kutoa ushuhuda wa kile ulichojionea.
Nimewaona sana morogoro wakawaida sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…